Kwasababu wanajua kabisa baada ya kuupokea utamaduni wao, tutaukataa utamaduni wetu. Na "mkataa kwao ni mtumwa." huoni tunavyohangaika kupondeana kisa hatujui kizungu wakati Urusi hata Rais wao huwezi kumkuta anaongeq kingereza japo najua kabisa anaifahamu hiyo lugha