Hivi kwanini wali wa mkaa ni mtamu kuliko ule wa 'rice cooker'?

Yaani mkuu mkombozi wangu kuruka kamba.
Lakini nisipokula acha kabisaaaaa namkaribia asha boko.
Eating good is my hobbie.

Kuna siku mtu alinikuta napika wale dagaa wa Mwanza akasema hawa dagaa au maini [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kumbe humo... utakua kibonge sana wewe [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Naomba nikutembelee korona ikiisha
 
Ukweli usiopingika wali wa mkaa ni mtamu kuliko wa rice cooker

hamna cha imani wala nini ila mkaa ni mkaa na utabaki pale tu
 
Ni kweli mkuu na kutokujua kubalance maji ya kupikia wali.
Ninapika chakula cha kuuza ijumaa.

Nina rice cooker za kilo 3 mbili na moja kwa ajili ya matumizi yangu ya kifamilia ya kilo moja na nusu.

Na chakula changu wala huwezi jua kuwa nimepikia kwa rice cooker hao wanaopikia kuni na mkaa ninawakalisha vibaya mno.

Inanisaidia mambo mengi sana na kuokoa mda.
Zinakausha poa kabisa na ukoko wa chini kama kawa.

Huku unajipika huku napika roast,huku naendelea na kuzalisha biashara yangu ingine tofauti na chakula hicho.

Kuna siku mdada mmoja ana hotel alikuwa mteja wangu akataka niende kuwafundisha.

Nilimuambia nakuja saa 3 tupike mpaka saa 6 nimemaliza unasambaza.
Nimefika kweli saa 3 nilijisahau nilijua ni kama kwangu mambo fasta fasta.
Weee mpaka kumaliza kupika ni saa 8 mchana.

Na ni chakula kimoja tu.
Mchuzi haukukaangwa ukaiva ikabidi tulipue maana wateja walishaanza kucancel order.

Nikasema sasa huyu inabidi aanze kuandaa chakula saa 12 ili aendane na muda.
Halafu ni hatari sana basi tu mtu unapika unazunguka na mijiko ya mikaa kila pende.


Hii iko kisaikolojia. Wali wa rice cooker ni mtamu balaa na unaukoko mlaini kinoma.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijawahi kuona utamu wa kiporo cha wali mkuu.
Kiukweli nakulaga basi tu nikiwa sina option au nikiona hakuna mlaji.
Kiporo cha wali maharage ya nazi mmmmmh ila kinakuaga kitamu nikila kwa mama ake Culture tu, sijui kwanini,

Wengine viporo ndio sehemu ya maisha yetu, unapika wali wa wiki nzima kazi ni kupasha moto.
 
Rafiki kuni ni changamoto sijawahi kuexperience kwa kupika ila i can imagine mateso yake,

Biriani [emoji39][emoji39]
Btw sijawahi kulipenda Birian la Kihindi naona kama wabongo tunapatia sana ivii.
 
Kuni ni changamoto sana aiseee.
Hasa ukiwa huna jiko la kisasa la kuni.
Ile kupikia na mafiga nje kwenye mchanga.
Nimeexpeience lakini ni shughuli aiseee.
Biriani la kihindi wana upishi wao wanachanganya humo humo wali na nyama.
Sisi tunapika tofauti.
La kwetu ni hili
Rafiki kuni ni changamoto sijawahi kuexperience kwa kupika ila i can imagine mateso yake,

Biriani [emoji39][emoji39]
Btw sijawahi kulipenda Birian la Kihindi naona kama wabongo tunapatia sana ivii.
Sasa kwa sotojo hilo utakosaje kulipenda [emoji1787]
 

Attachments

  • paja.jpeg
    68.9 KB · Views: 1
Si ufungue restaurant tu
Hongera
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukweli unabaki palepale Africa Ndiyo sehemu salama kwa binadamu kuishi ukijifanya Mzungu utazunguka.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimemtembelea Aroma of Zanzibar leo nimeona aliweka pishi la Mandi, sikujua kama ni rahisi kupika vile,
Nataka nilijaribu siku nikipata muda,

Wewe unalimudu?
 
Reactions: amu
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…