Hivi kwanini walokole huwa wakali unapokuwa against na nchi ya Israel?

JINSI UNAVYOWATETEA NA KUWSPIGANIA WAYAHUDI NDIVYO UNAVYOZIDI KUBARIKIWA. JINSI UNAVYOPAMBANA NA MYAHUDI NDIVYO UNAVYOLAANIWA. WALE WALISHAPEWA TIK. WAFANYEAZURI WAFANYE MABAYA. NI KWA NINI WZMEPENDELEWA? MUNGU MWENYEWE ANAJUA NA AMRI YA MUNGU HAIJADILIWI
 
Amini nikikuambia hivi, hamna mlokole wala mchungaji wa kweli anaesupport
Israel. Ukiona mlokole ana vibendera vya israel
Elewa kwamba hasomi biblia maana israel alikataliwa na Mungu mwenyewe baada ya kifo cha Yesu kristo.
Mara nyingi huwa nikitaka
Kumjaribu mtumishi wa Mungu kama ni wa kweli naulizaga kuhusu msimamo wake juu ya israel na wote wanafeli
 
Binafsi mimi wala sijali kuhusu Israel, ila huwa naunga mkono upande wowote unaotembeza kichapo kwa waislamu pale hao waislamu wameanzisha ugomvi, maana waliingizwa mkenge na Mohammad kwamba wapigane na kila asiyeamini katika huo uzombi.
Kwa mfano juzi kwenye vita vya India dhidi ya Pakistan, nilikua naunga mikono India.

zitto junior adriz MOTOCHINI
 
Mungu kawapendelea wapi , usipakazie , yaani mashoga wamependelewa , Unatutia wasiwasi
 

Ndio nyinyi mko hivi ?




Your browser is not able to display this video.
 
Tangu mwarabu alipowabungua na kuita anawafanya suna. wafuasi wa mwarabu imekuwa kazi Yao hiyo hiyo na ndio neno lililo kinywani mwao ogopa dume Zima linaimba taarabu. Pwani yote imeharibuka. huko umekosa mabwana Sasa unajitangaxa kwenye mitandao huku umevaa pampas?
 
Jinga lingine hili hapa, yaani akili mlishaharibiwa huko makanisan, hata akija myahudi nyumbani kwako na kuuwa watoto wako bado utamsifia si ndio?, kinachofanywa na hao fake jews huitaji Roho mtakatifu akushukie ujue kuwa ni uovu wa kupingwa, sijui wenzetu huwa mnaabudu Mungu yupi anayeruhusu ilo taifa lake kufanya kila aina ya ushenzi
 
Tangu mwarabu alipowabungua na kuita anawafanya suna. wafuasi wa mwarabu imekuwa kazi Yao hiyo hiyo na ndio neno lililo kinywani mwao ogopa dume Zima linaimba taarabu. Pwani yote imeharibuka. huko umekosa mabwana Sasa unajitangaxa kwenye mitandao huku umevaa pampas?
 
Ni mapokeo na mifumo ya dini waliyokaririshwa,ila wengi hawajui asilimia 95% ya waisraeli sio wakristo wala hawakumpokea Yesu hata mpaka kesho wao wanaamini masihi wao bado hajaja.

Pia hawajui kwakuwa hawafundishwi kuhusu aliyosema Yesu katika

Mathayo 21:43
Kwa sababu hiyo nawaambia, Ufalme wa Mungu utaondolewa kwenu, nao watapewa taifa lingine lenye kuzaa matunda yake.

Mapokeo yamefundisha Israel ndo kila kitu ila Yesu alishasema ufalme utahama na umehama kweli leo ukimwambia mlokole anabisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…