akatiwanya
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 674
- 868
We utakuwa jaza tumbo.Ukinunua nyama robo utakula na itaisha hakuna utakachopata.
Kwa gharama hiyo hiyo unapata kilo ya maharge unakula siku 2 mpaka tatu mpaka unasaza.
Akili kumkichwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We utakuwa jaza tumbo.Ukinunua nyama robo utakula na itaisha hakuna utakachopata.
Kwa gharama hiyo hiyo unapata kilo ya maharge unakula siku 2 mpaka tatu mpaka unasaza.
Akili kumkichwa
Uswazi hata ukitaka nyama ya jero unapimiwa, hizi mizani za digital zinainua taifaHivi wanapima mkuu?
At least nusu mkuu....robo si kipande kimoja Cha kubugia chap hicho mkuuWee; hivi kwani wanyaki hawali nyama robo.
🤣🤣🤣🤣Haya bhanaUswazi hata ukitaka nyama ya jero unapimiwa, hizi mizani za digital zinainua taifa
3,000tshs na ni lazima uchanganyiwe utumbo na mfupaMkuu nyama robo mtaani kwenu shilingi ngapi?
Hii hata kuonja haitoshi. kipindi nipo geto nilinunua nusu kg nikaionja yote ikabidi nipike dagaa kwa ajiri ya ugali wanguHivi nyama robo inatosha kula? Hasa kwa kijana wa kisukuma?
Kwamba wanaleta utani hahaa
Na mie nashangaa hapo.Jf bhana kila mtu tajiri hajui nyama robo kwamba inatosha kwa familia,acheni mbwembwe