Hivi kwanini wanaowachukia m23 asilimia kubwa ni wanaccm

Hivi kwanini wanaowachukia m23 asilimia kubwa ni wanaccm

Ni ujinga kufikiri M23 Wanapigania wanachi.

Wanapigania Nafasi za kushika dola na kuendesha nchi kama SISIYEMU
 
Hizi ndio akili za think tank wa upinzani?? Kwa akili zako unadhani hao M23 wanawapigania wananchi??

Hapo sio serikali ya Congo wala hao M23 wote wanapigania matumbo yao tu.
 
Back
Top Bottom