Mwamuzi wa Tanzania JF-Expert Member Joined Apr 7, 2020 Posts 15,486 Reaction score 45,256 Feb 2, 2025 #21 Juice world said: Kweli aisee wanaona kama watu watamka na kuunda makundi ya kutetea haki mwisho nchi iwe haikaliki🤣🤣🤣🤣🤣 Click to expand... Ahahaha
Juice world said: Kweli aisee wanaona kama watu watamka na kuunda makundi ya kutetea haki mwisho nchi iwe haikaliki🤣🤣🤣🤣🤣 Click to expand... Ahahaha
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Feb 2, 2025 #22 Ngoja waje... Cc: Mahondaw
MENERIKI II JF-Expert Member Joined Oct 21, 2014 Posts 642 Reaction score 1,294 Feb 2, 2025 #23 Ccm hawapendi Zurma
The mission 2017 JF-Expert Member Joined Aug 14, 2017 Posts 1,748 Reaction score 3,229 Feb 2, 2025 #24 Ni ujinga kufikiri M23 Wanapigania wanachi. Wanapigania Nafasi za kushika dola na kuendesha nchi kama SISIYEMU
Ni ujinga kufikiri M23 Wanapigania wanachi. Wanapigania Nafasi za kushika dola na kuendesha nchi kama SISIYEMU
Vishu Mtata JF-Expert Member Joined Dec 15, 2019 Posts 15,954 Reaction score 35,415 Feb 2, 2025 #25 Hizi ndio akili za think tank wa upinzani?? Kwa akili zako unadhani hao M23 wanawapigania wananchi?? Hapo sio serikali ya Congo wala hao M23 wote wanapigania matumbo yao tu.
Hizi ndio akili za think tank wa upinzani?? Kwa akili zako unadhani hao M23 wanawapigania wananchi?? Hapo sio serikali ya Congo wala hao M23 wote wanapigania matumbo yao tu.