Hivi kwanini wanaume tukiingia kwenye mahusiano na wanawake wanaotuzidi umri tunazama sana kimapenzi?

Mwanaume unapokuwa na mahusiano na mwanamke ambaye amekuzidi umri , Kwanza mwanamke lazima hatakuwa muwazi kwako , kitendo cha mwanamke kuwa muwazi kinajenga uwaminifu wa mwanaume kumpenda sana yule mwanamke tofauti na mwanamke akiwa na mausiano na mwanaume aliyemzidi umri mara nyingi mwanamke anakuwa sio muwazi na kuwa na mambo mengi ambayo mwanaume akigundua lazima upendo utapungua tu
 
Aisee
 
Hapana No alikua ni mkubwa mno Ila umbo lake haliponyeshi km ni mkubwa hivyo sababu unajua tena ukiwa na Pesa hauzeeki unaonekana kijana na hawa Mama zetu wa digital wanaotaka kua mabinti kumbe ni mabibi wanajiweka km wasichana ni changamoto

Pussy is pussy man,older pussy is better than no pussy.
 
Your Friendly Narcissist nakubaliana na wewe

there's just something else about older women
True, hawa wadogo pasua vichwa.
Kuna kipindi nili date na mdada mmoja, aisee yule dada ana mdomo, yaan nikirudi nimechoka nataka kupumzika yeye ndo anawasha generator sasa, nilitamani hata niwe nalala nje kibarazani.
 

aisee umenikumbusha manzi yangu mmoja alikuwa amenizidi miaka kadhaa dah nilikuwa namuelewa sana kiukweli wanawake wenye umri mkubwa wanajua sana mapenzi nilipotezana nae na sijawahi kumpata mpaka leo licha ya kumtafuta sana bila mafanikio SUZAN HOLDEN popote ulipo mama kama upo humu jua nakutafuta sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…