Hivi kwanini wanaume tukiingia kwenye mahusiano na wanawake wanaotuzidi umri tunazama sana kimapenzi?


Pole sana kamanda,hii hali yakawaida sana ukifall in love,but umepata lesson kubwa katika maisha yako,usipende sana mana ukipenda sana utaumia sana.

All the best hope nw unaenjoy life na warembo tofauti.
 
Mi nachoogopa naweza kwenda kumwambia mmama asie na mume kuwa nampenda alaf ye aanze kuongea kwa sauti huku akiniuliza Hivi we kijana hujafunzwa adabu?

Mkuu umenikumbusha wayback sana niliwahi kupewaga hii kauli na dada mmoja smart sana alikuwa amenizidi karibu miaka 13 kipindi hicho niko around 21 yrs alinikata sana mood..
 
Kuna mmoja aliniwekea bili ya mtori sija sahau,
 
wakwangu Ambaye nipo nae amenizidi mwaka mmoja mwakani Inshallah nkimaliza chuo ntamuoa
 
Kinyonge 😂😂😂😂
 

Paragraph ya mwisho umeua….sikuiz kwanza ivi vitoto vidogo naviitaga vi antelope vinarukaruka havitulii sivibembelezagi vina invoice nyingi za kingese …vina njaa kali kinoma
 
Huyu mshamba_hachekwi kachukua hii comment yako kapeleka kule kwa uzi wa kimasikhara mkuu 🤓🤓🤓🤓
 
Polee sana mzee baba Daah sema umenikumbusha mbali just was a same story, wakwangu mimi alikuwa kanizid 8years nilikuwa na 22 yeye alikuwa na 30 Daah she is so beautiful,smartness en muwazi sana hana konakona, nilifanikiwa kulala nae mala moja tu, kiukweli aliamua kuniacha kwenye mataa kama wewe, na aliniweka chini kunieleza ukweli kuwa mimi bado mdogo,na nahtajika kuwa na maisha na mwanamke wa age yangu Daah niliumia sana, ila ndoivo huaga wako clear sana, na ukija kuangalia baadae unagundua, kuwa wako sahihi yaan wanaakili nyingi sana sababu anajua baadae utakuja kuumia zaidi,so nibola asitishe uhusiano, na kiuhalisia ni kweli huwez kuja kumuoa, daah miss you Lemmy[emoji18] hawa agemet huku ni trouble tu
 
Lemmy.. yupo dodoma sasa huku four way mkuu🤝🤝🤓
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…