Hivi kwanini wanaume tukiingia kwenye mahusiano na wanawake wanaotuzidi umri tunazama sana kimapenzi?

Kwa Mawazo yangu uwaga nahisi shida sio Umri?
Wanawake wengi ambao heshima zao zimeshuka katika Jamii inayowazunguka (Hapa wimbi kubwa lipo Kwa walioachika na waliozalishwa{Waliozalia nyumbani} au vyote Kwa Pamoja).

Ukibahatika kudate nao utaenjoy Sana maana dhamira Yao ya Kwanza nikutaka kurejesha Heshima zao zilizopotea hapo Nyuma. Hivyo Bhasi wanapoingia kwenye Mahusiano wanahitaji kufanya kila kitu kinachowezeka ili kuwafurahisha wapenzi wao.
 
Hii kweli kabisa aisee, Nilipomaliza chuo nikiwa na 24 kuna mama na watoto wake wawili walikuja kuanzisha mgahawa karibu na gheto, moja ya wao tulitokea kuzoeana alikuwa na 26, Mambo yali konekt, ilibidi niondoke mwezi wa saba jla nikaondoka wa nane, sikuwa na sapu ila nilirudi mwezi wa tisa, Transcript nikaifata mwezi wa kumi kwajili yake, cheti nilienda kuzuga kukifata mwezi wa 11 huku nikijua ni mpaka mwezi wa pili, nikarudi tena mwezi wa pili kufata cheti huku lengo kuu niwe nae, haikuwa rahisi kuachana nae, nilimpenda sana sana, Bee ilibaki kidogo nimtoroshe ila alikuwa anayajua maisha na kunipa ukweli kwamba mimi nilikuwa bado mdogo nina mihemko tu
 
Nilikua nna mahusiano na Mtoto WA shangazi upande WA nje alikua kanizidi miaka kama 10 hv bas kwakua nilikua namkojoza round ya kwanza yeye anaenda 2 alikua ananipenda Sana bas na Mimi nikafall bhn weh weka tuweke si akajaa alinigusia kidgo Ila sikuchukulia serious mwisho wa siku tukaamua tuue kiumbe maana ingejulikana ingekua soo Sana maana yye NI ndugu flan hv kwetu ingekua kma aibu .... Mwisho wa siku sijui tulikuja achana vipi Ila naskia sasa hv kaolewa kuna siku tulichat apa juzi kati akaniambia she will never forget me when we meet again I gonna make her cum 🤗😅
 
Sema shida yao kubwa ni wivu na insecurities nyingi
Kuna mmoja imebidi nimuache kwa sababu mtaani anawaambia mabinti wadogo aliozoeana nao kwamba mimi bwanake ilihali ana mume na watoto
Kuna muda anaweza kupigia sim akaanza kusema haujanitafuta leo kwa sababu mimi ni mzee kuliko vitoto vyako huku hapo alikua na miaka 36 tu
Ila cha mno alikua anajua kunyonya dudu na ile K ilikua tamu sana imebana kama hana watoto watano vile na full utelezi
Wicknes yake ilikua kitandani alikua anapenda kusuguliwa sana na muhimu umkojolee ndani alikua anapenda sana anasema umenikojolea lita nzima nimehisi uamu wa joto kwa ndani
Na alikua anaweza kulipia lodge hata umbali wa kilomita 20 ili ukamt*mbe hata masaa matano
Kilichochangia pia nimuache nilianza kufeel guilty kwa mume wake manake ilifikia muda alikua anamdanganya anaenda kusalimia ndugu umbali wa KM 50 hivyo atarudi jioni kumbe hapo siku nzima niko nae lodge
Pamoja na kua mke wa mtu hakuwahi kutaka kusikia au kuona nina manzi alitaka awe yeye tu

Hata jana kanitafuta na hata leo saa 11 kanitafuta nahisi zitakua nyege tu hizo
 
Story nzuri ila umeharibh hapo kwenye kutahiriwa,unaitwa BASATA
 
Naturally mwanaume ana tabia za kitoto,Sasa ukimpata mtu mzima anakutreat kama katoto lazima u fall deeply...........plus mtelezo wa vibomu vya hapa na pale
Kuna mshangazi wangu umenizidi umri ananiambiaga hivyohivyo eti napenda kudekezwa.

Ila raha sana kutoka na mishangazi wako mature enough, plus ukute ana maisha yake. Yaani unakuwa kama katoto kake kabisa

In short they know how to treat a man, mashangazi yana pepo yao aisee
 
Aiseee umenikumbusha way back sana
Kipindi hiko ni Young and full of energy and emotions.
Nakumbuka ilikuwa naenda field ya mwaka wa kwanza mgodini niko na washkaji tumetoka Dsm chuo na destination ilikua mgodini geita so tulifika mwanza tukalala then kesho ndio twende Geita.
Ilikuwa ni jmosi tuliendelea na safari tulipofika Kivuko cha Busisi tulishuka kusubiri kwenda upande wa pili then nilimuona mdada kakaa pekeake, nilimfuata nikamsalimia na kuanza kumuongelesha.
Aisee kumbe sikujua alikuwa anaenda Uganda kufunga mzigo wa Manuka yake ya nguo pia alikuwa ni mke wa mtu na ana watoto wa 2.
Baada ya kuvuka na kila mmoja kuendelea na safari yake nilifanikiwa kupata namba yake, na utani na mazoea yalianzia hapo
Siwezi Sahar siku ya kwanza aliyokuja Geita akalipia hotel for the whole weekend and we did everything. Na sijawahi kuexperience this kind of love, from that I was addicted to her as she was to me. Ikafika hatua hata field siend nasingizia naumwa kumbe nimempanga aje.
One day mumewe alinipigia simu akanipiga mikwara na maonyo makali niachane nae maana akiamua kunipoteza ni Segundo tu, kumbe alikuwa kaolewa na Tajiri wa madini mtu wa kusafiri safiri na walikuwa na watoto wawili.
She was so special to me nilidumu nae kwenye mahusiano for 4 yrs, I mean alinifanya nisiwe na demu yeyote chuo mpaka namaliza alijitahd mara kwa mara kuja Dsm kwaajili yangu ingawa alikuwa anakaa Mwanza.
Akiwa kaolewa alipata mimba yangu akagoma kuitoa is ilhali akijua ni jambo la hatari, mimba ilimsumbua sana alikuwa anaishiwa damu mpaka anazimia eventually madactari na ndugu walimkomalia aitoe maana ni either angepoteza uhai yeye au pamoja na huyo mtoto maana alishaambiwa asizae tena.
I loved her, she loved me but we were not meant to be together
Siku ya gradu yangu ya chuo ndio mtu pekee alikuja
Alinipa zawadi nyingi na mipango mingi aliweka juu ya maisha yangu
By then zawadi ya 5mil ilikuwa ni pesa nyingi sana sana
Tulikuja achana baadae akisema America kufocus na maisha ya familia yake maana watoto wake wanamuhitaji hawezi kugawa tena upendo pande mbili.
We both cried, fucked and cried again as we say our goodbyes👋
She was perfect, beautiful, loyal and most importantly dangerous and wild
She was only 29 and I was only 21 wakati tunaanza mahusiano yetu.
Ndio mahusiano yangu pekee yaliyodumu muda mrefu
It was a long time ago ila nikikumbuka still my heart breaks a little bit
U will always be remembered Gee
 


Rekebisha tittle "Hivi kwa nini wanaume wapumbavu" - anza hivyo.
 
24 kwa 26 huyo ni agemate kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…