Hivi kwanini wanaume tukiingia kwenye mahusiano na wanawake wanaotuzidi umri tunazama sana kimapenzi?


pole sana mkuu ni maumivu makubwa sometimes kuna wanawake huwa wanakuja kwenye maisha yetu unaweza sema ni malaika asee alafu ghafla wanapotea
 
Huu uvuvi haramu 🤣🤣
 
Niko hapa kibenten changu, vipi umeacha ile tabia ya kupiga kelele ukiwa unafika kileleni? 😜
 
nimeshawahi kuwa mzinzi sana. ninyi nyote chamtoto tu. namshukuru Mungu alinineemia, nilistahili adhabu sana lakini alinisamehe. kitu pekee nilichojifunza ni kwamba, hakuna dhambi ambayo huwa inaenda bure kama hautatubu na kuiacha, kuna siku tu ya arobaini yako itakuletea madhara. mshahara wa dhambini mauti, bali karama ya Mungu ni uzima wa milele. inaweza kuwa mauti ya maisha yako/uhai, mauti ya pesa zako, mauti ya hatima yako ya maisha, unajinajisi, mauti ya vitu vingi. pale mnapozini huwa ni mlango wa mashetani mengi yanayokuja kuua vitu maishani mwako kiroho na kimwili pia. Mungu awasaidie mkumbuke hili na Mungu anisaidie na mimi kuikimbia zinaa.

zinaa dawa yake ni kukimbia mazingira yake yote, discussions zake zote, usipende kuwa karibu na mwanamke ambaye unajua lolote laweza kutokea, ikimbie, usipende kuwa na mwanamke ninyi wawili tu hakuna mtu mwingine, lolote laweza kutokea, kati ya dhambi yenye nguvu sana duniani ya kwanza ni zinaa, mwanamke akishaweka mazingira tu mwanaume huwa ni rahisi sana kudondoka. na shetani kwasababu anajua hilo, huwa anawaingia wanawake anawatumia kama chombo, inasemekana hadi baadhi ya wanawake hua wanakuja kustuka baadaye sana na kujilaumu imekuwaje wakatembea na mtu fulani, hadi wanajilaumu, kumbe shetani aliwatumia kama chombo ili kupata mlango wa kuingia kwa mtu fulani na kumharibia maisha yake kwa nuksi, kufunga milango ya baraka, magonjwa na mauti.

Yesu Yuaja, tuiogope dhambi. wakati watakaposema kuna amani, ndipo uharibifu uwajiapo, pale unaposema huyu ndio mwanamke wa kuzini naye nyuma yake kuna uharibifu unakufuatilia.
 
kwanini umevamia Uzi wa watu? jaman anzisha wa wako tutakuja huko kusoma...unaandika inshaaa
 
kwanini umevamia Uzi wa watu? jaman anzisha wa wako tutakuja huko kusoma...unaandika inshaaa
nadhani nilichojadili ndio kile kile, uzinzi na wamama waliowazidi umri. Mungu anachukia uzinzi na wote wanaosapoti uzinzi watakunywa kikombe kile kile.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…