The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,092
hehehehe!
jamani habarini za asubuhi!
unajua huku australia ndo kwaaanza kumekucha.....!
mi nina swali moja tu wakuuu!
KWA HIYO MUMEAMUAJE?....bacha ni she (kama ninavyomfahamu) au ni HE kama mnavyomfahamu ninyi?
nawasilisha!..nitarudi jamani:llama:
Babu vingine havichunguliwagi....utapofuka macho lol
Kula ni kula haijalishi kama umekomba au umebakiza mboga BabuBahati mbaya mi huwa sichungulii...huwa natizama na mawani yangu?
BIA yenyewe moja...GLASI ya NINI?
hehehehe!miwani ya kipelelezi!Bahati mbaya mi huwa sichungulii...huwa natizama na mawani yangu?
hehehehe!miwani ya kipelelezi!
nasikia ma-bodigadi wa ''mkwere'' miwani yao ndo iko hivyo....ni kweli?
hpo nadhani kuna sheria zinakiukwa........!SHARING IS CARING!nadhani tugawane lensi za hiyo miwaniNdiyo hiyo nimeinunua kwa ajili ya kuwaangalia MJ1, Nyamayao na bacha.
Ndiyo hiyo nimeinunua kwa ajili ya kuwaangalia MJ1, Nyamayao na bacha.
hpo nadhani kuna sheria zinakiukwa........!SHARING IS CARING!nadhani tugawane lensi za hiyo miwani
hpo nadhani kuna sheria zinakiukwa........!SHARING IS CARING!nadhani tugawane lensi za hiyo miwani
hehehe!Ewaaaa! Takamatana pale kaunta kusheherekea ushindi! Uchakachuaji wa jinsia hauruhusiwi!
Ewaaaa! Takamatana pale kaunta kusheherekea ushindi! Uchakachuaji wa jinsia hauruhusiwi!
KONYAGI NDOGO MBILI.....!jikoni unaagiza CHIPSI MAYAI:biggrin1::biggrin1::biggrin1:
Ewaaaa! Takamatana pale kaunta kusheherekea ushindi! Uchakachuaji wa jinsia hauruhusiwi!
Hivi ukichakachua si hauwezi kupata 100%? Yaani kama ukichakachua petroli kwa kutumia mafuta ya taa....unachopata sio petroli wala mafuta ya taa......sasa anayechakachua jinsia anakuwaje? Au ndo shemale nazosikiaga....
hehehe!
unajua kuna wakina mama wengine kama bacha wanatamani kuwa wanaume....!:llama:
I feel JF like one big family kwa kweli lol............ With brothers and sisters (no room for ISC)
hilo nalo neno....
habarini za muda waungwana!Unajua Teamo usije na usijaribu kubishana na uumbaji wa mwenyezi mungu!naona umependezwa na uchakachuaji wa jinsia kama ambavyo unavyoendelea kudadavuliwa hapa!acheni mungu aheshimiwe kwani kila alichokiumba alikibariki na kukitakasa!
Nawasilisha