Hivi kwanini wanaume wanaogopa kuwapa wanawake hela? Wapeni hela nao wawape

Hivi kwanini wanaume wanaogopa kuwapa wanawake hela? Wapeni hela nao wawape

venchwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2016
Posts
2,222
Reaction score
3,160
Zama za kusubirishana Gizani kusubiri reply zimepitwa na wakati! Sasa we Endelea kutongoza unadhani utafanikiwa bila Pesa !

Kwa sasa kupata mwanamke
1. Kuwa na Pesa
2. Cheo
3. Kipaji
4. Muongo muongo kwa ahadi

Hivi hivi hupati kitu! Nyakati hizo zimepitwa

Sasa ni nipe nikupe

Nimegundua kwenye nyuzi kadhaa hadi Wengine wwnadiriki jukufuata PM kwamba mbona unatumia sana hela! Sasa use what you have to get what you want !!
 
Shemeji yako juzi kati nimempa hela ya uchakavu kama ml 3
Baada ya siku chache ananipa ml 1.5 nimtunzie
 
Bwashee sio kwamba tunaogapa , mimi nataka nikimpa mwanamke hela yangu nione matokeo na ameweza kujisimamia , siku moja tunywe bia na yeye anunue , mambo ya hela za kuweka umeme na nywele huo ukuda sifanyi Bwashee
Ila tusiwe na mkono wa burial
 
Back
Top Bottom