Shemeji yako juzi kati nimempa hela ya uchakavu kama ml 3Zama za kusubirishana Gizani kusubiri reply zimepitwa na wakati! Sasa we Endelea kutongoza unadhani utafanikiwa bila Pesa !
Kwa sasa kupata mwanamke
1. Kuwa na Pesa
2. Cheo
3. Kipaji
4. Muongo muongo kwa ahadi
Hivi hivi hupati kitu! Nyakati hizo zimepitwa
Sasa ni nipe nikupe
Nimegundua kwenye nyuzi kadhaa hadi Wengine wwnadiriki jukufuata PM kwamba mbona unatumia sana hela! Sasa use what you have to get what you want !!
Ila tusiwe na mkono wa burialBwashee sio kwamba tunaogapa , mimi nataka nikimpa mwanamke hela yangu nione matokeo na ameweza kujisimamia , siku moja tunywe bia na yeye anunue , mambo ya hela za kuweka umeme na nywele huo ukuda sifanyi Bwashee
Na wewe usiombe vya watu maana pia hawanaMimi sitoi pesa kwa maana sina.
Sina tabia ya kuomba vya watu zaidi ya vyakwako ShesRise_1Na wewe usiombe vya watu maana pia hawana
Mimi ninazo na si hudumii , ebu nijaribu uone kama sinaπππhawana bhana.
Mwenye nazo anahudumia vizuri tu
Weee nakujua shenzii weeSina tabia ya kuomba vya watu zaidi ya vyakwako ShesRise_1
Najaribu vipi na uhudumii πππ.Mimi ninazo na si hudumii , ebu nijaribu uone kama sina
Hapana siunajua wewe pekee ndio upo moyoni ShesRise_1 changu ni chako na chako ni changu.Weee nakujua shenzii wee
Pm ipo wazi utakula viwanja vya kimataifa kula , na kulala ila sikupii hata piiNajaribu vipi na uhudumii πππ.
Hicho kitu hakipo
Nilishakwambia maneno kama haya siyaelewi kijana eboooHapana siunajua wewe pekee ndio upo moyoni ShesRise_1 changu ni chako na chako ni changu.
Havitanisaidia hivo ππ nenda tu jamani.Pm ipo wazi utakula viwanja vya kimataifa na kulala ila sikupii hata pii