Hivi kwanini wanaume wanaogopa kuwapa wanawake hela? Wapeni hela nao wawape

Kijana mi siombi hela mwanaume au kumtajia kiasi cha pesa naitaji

Ukiona huwezi kujiongeza mwenyewe na kunipa hiyo pesa basi hustahili kua na mimi right ๐Ÿ˜Ž
Mwambie akupe hela bwana

Tahadhari : mwanamke anahongwa 500$ and above yaan 1.2M kwa kukutana
 
Wangereza wana msemo; money speaks louder than mouth. Kwani perfume itanunuliwa na maneno? Kila mtu anakuwa na shida zake, mwanamke na K yake njaa yake pesa! Mwanaume na uhanga wake shida yake kuu ni K. Wanakutana, wanafanyabiashara.
 
Siwezi kumpa chochote kwa sababu sijamuomba hiyo pesa ametoa mwenyewe kwa hiari yake

Labda kama na mimi siku nione anaitaji nitampatia pia
Kama unatarajia upewe hela lazima nawe ujue specifically kabisa utatoa nini chenye thamani in return. Vinginevyo utakua unathibitisha ukweli wa ule msemo wa "wanawake wote wanajiuza, wametofautiana mbinu tu"
 
Okay ๐Ÿ‘ bro
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ