Mwamba 777
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 2,780
- 4,504
Wewe omba MUNGU akupe mke sahihi, uachane na habar za wanawake,Zama za kusubirishana Gizani kusubiri reply zimepitwa na wakati! Sasa we Endelea kutongoza unadhani utafanikiwa bila Pesa !
Kwa sasa kupata mwanamke
1. Kuwa na Pesa
2. Cheo
3. Kipaji
4. Muongo muongo kwa ahadi
Hivi hivi hupati kitu! Nyakati hizo zimepitwa
Sasa ni nipe nikupe
Nimegundua kwenye nyuzi kadhaa hadi Wengine wwnadiriki jukufuata PM kwamba mbona unatumia sana hela! Sasa use what you have to get what you want !!
Ngumu kukaa na mke mmoja ! Lazima mechi za Ugenini zipoWewe omba MUNGU akupe mke sahihi, uachane na habar za wanawake,
Udili na mke wako na familia yako MUNGU aliyokupa.
Hbr za kuonga zimepitwa na wakati.
Kaa na mke wako na familia yako mfanye mambo ya msingi.
Skuizi mjini wanawake wengi sana hawana pa kwenda, omba MUNGU akupe mke sahihi
Si kweli, mtu anavumilia kuishi bila mwanamke miaka yote hiyo afu akishaoa mke wake mmoja wa kuishi nae, mtu wa hivo ataanzaje kuwa na tamaa za kijinga????Ngumu kukaa na mke mmoja ! Lazima mechi za Ugenini zipo
Mimi sina shida na kumpa hela mwanamke ninaempenda, hata million 10 kama ninayo nitampa.Zama za kusubirishana Gizani kusubiri reply zimepitwa na wakati! Sasa we Endelea kutongoza unadhani utafanikiwa bila Pesa !
Kwa sasa kupata mwanamke
1. Kuwa na Pesa
2. Cheo
3. Kipaji
4. Muongo muongo kwa ahadi
Hivi hivi hupati kitu! Nyakati hizo zimepitwa
Sasa ni nipe nikupe
Nimegundua kwenye nyuzi kadhaa hadi Wengine wwnadiriki jukufuata PM kwamba mbona unatumia sana hela! Sasa use what you have to get what you want !!