my name is my name
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 2,016
- 2,397
Hivi kwanini wanaume walio wengi sio wote wako na lips nzuri kulinganisha na wanawake. Lips za wanawake ni za kawaida sana ila wanaume wanakuwaga na lips nzuri zinavutia sana mpaka mtu unazitamani. Kwanini wanaume wamepewa lips nzuri kuliko wanawake? Mimi naona kawaida wanawake ndio walitakiwa wawe na lips nzuri lakini iko tofauti. Kwanini?