Hivi kwanini wanaume wengi wana lips nzuri kuliko wanawake?

Hivi kwanini wanaume wengi wana lips nzuri kuliko wanawake?

ebu tupia walau picha bas!
IMG_20181021_224451.jpg
 
Cc. Mungu muumba mbingu na nchi!
Hivi kwanini wanaume walio wengi sio wote wako na lips nzuri kulinganisha na wanawake. Lips za wanawake ni za kawaida sana ila wanaume wanakuwaga na lips nzuri zinavutia sana mpaka mtu unazitamani. Kwanini wanaume wamepewa lips nzuri kuliko wanawake? Mimi naona kawaida wanawake ndio walitakiwa wawe na lips nzuri lakini iko tofauti. Kwanini?
 
Back
Top Bottom