my name is my name
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 2,016
- 2,397
Mbona wanawake nao lips za chini ni nzuri sana? Au wewe unaonaje onaje hapo?Hivi kwanini wanaume walio wengi sio wote wako na lips nzuri kulinganisha na wanawake. Lips za wanawake ni za kawaida sana ila wanaume wanakuwaga na lips nzuri zinavutia sana mpaka mtu unazitamani. Kwanini wanaume wamepewa lips nzuri kuliko wanawake? Mimi naona kawaida wanawake ndio walitakiwa wawe na lips nzuri lakini iko tofauti. Kwanini?
Za wanaume ndio nzuri sanaMbona wanawake nao lips za chini ni nzuri sana? Au wewe unaonaje onaje hapo?
zinakuwa hazivutiiLips mbaya zikoje?
ndio. vipi?We Mwanamke
nimepima kwa machoUmepima kwa kutumia nini??
Mamidomo ya kupigia deki...Acha uwongo....wanaume wana mamidomo makubwa kama chapati huwezi kucompare na wadada!
Witnessj witnessj, MUNGU anakuona ujueAcha uwongo....wanaume wana mamidomo makubwa kama chapati huwezi kucompare na wadada!
Hahahah una utani na diamond?Acha uwongo....wanaume wana mamidomo makubwa kama chapati huwezi kucompare na wadada!