Hivi kwanini wanaume wengi wana lips nzuri kuliko wanawake?

Au mkuu unanisema mim nini?[emoji38]


jokes.
 
wanaume hatutumii lips stick,zingine ni mbaya sana,zinaharibu lips,sisi tunatumia dawa ya meno tu
 
kama ni mwanamke uko sawa, kama wewe ni mwanaume wewe ni shoga100%
 
Mtoa post unaweza kuwa sawa ila kama ni MWANAUME asi nina mashaka nawe manake huwezi tamani lips za wa kiume wenzio
 
umba wa kwako afu uwape lips unazotaka
 
Inaeza ikawa kweli ..jambo zuri kuzingatia ni lips za kiume. Hazipigwi lipstiki wala lips wanja. Wala Nene yani. A man is a man and he is always smart and Natural.... .kuhusu kuwa na uwezo wa Kukiss ni jitihada binafsi za MTU. Ila kuna changamoto sometime pale mnapokutana Me .una ka mdomo na ke ana midomo. Au kifupi jitathmini aina ya mdomo wako na wa mupenzii wako. Isipishane sana ukubwa.
 
Aiseee 😂🤦🏽‍♂️
 
mimi naona wanawake ndo huwa wana lipsi nzuri,tena laini sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…