Hivi kwanini wanawake wa “Daslamu” wanajichubua sana?

Mbona mbuga za wanyama ziko nyingi, na binadamu weusi unao wataka utawakuta kule.
 
Mahitaji ya soko
 
Hasa wilaya ya Temeke na viunga vyake hususani mbagala na buza...wanaona kujichubua ndio urembo. Halafu sijui wanavumiliaje harufu ya vile vipodozi vikali.
 
Haruuuu usitupakazie madame zetu......huko huko kwenu kwenye club 1245!
😂😂 Ukimsifia "shoga angu umeng'aa "
Utasikia Kuna losheni natumia alfu tano nimenunua kizuiani 😂
Kuna mtaalamu wao wa kuchanganya vipodozi anapatikana kizuiani.
Hatari huyo bwana
 
Kadri uelewa wa kujitambua unavyokuwa mdogo ndivyo na nafasi ya kujichubua inakuwa kubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…