Ukiwa sales kupata gari nyumba na familia sio kazi ...........hivyo huwa vinakuja automatically..........ila inategemea unafanya sales ya kwenye jambo gani??...........Yaani hyo list uliyoiweka unajifaninisha nao kweli wewe mtu wa sales and marketing are you serious.
Una gari ww?
Nyumba yako?
Familia?
Au ndio kazi mademu tu kijana
Aisee huu ni mtego hatari sana kwa sisi maafisa usafirishaji 🐼🤣🤣🤣Bodaboda wangu
Na hapo ndio tatizo lenu linapoanza. Eleea swaliHakuna mtu wa sales asie na gari kijana.
Nyumba sijui familia ni vitu vidogo kwetu.
Na sijaichukulia poa.Marketing ni fani kubwa sana usiichukulie poa
Utaweza kuzungusha mabeseni kutoka mbagala hadi kivule 🤣Kweli madokta na mapilots hawana pesa au wivu wako tu?? 😹😹😹
Haya uko wapi mzee wa sales and marketing mi nikupende unipe mipesa hiyo 🤣
Na mimi sijadhamdhara, kama gari anayo, ana familia, na yeye ni mtu wa sales, mademu wa nn? Tatizo linaanza hapo, shida wengi wenu, hata kada yenu hamuifahamu mnaichukulia poa.Kazi ni kazi unayoidharau mwenzako inamfanya aishi. Utakuwa na shida sio bure.
🤣🤣🤣🤣Mnapigia humohumo 🥴Aisee huu ni mtego hatari sana kwa sisi maafisa usafirishaji 🐼
Yes naelewa ndio maana nimemuuliza hvo vtu anavyo. Na kama anavyo, mademu yeye wa nn, wakukaa nae siku moja na wanamuacham ana shida pahali.Ukiwa sales kupata gari nyumba na familia sio kazi ...........hivyo huwa vinakuja automatically..........ila inategemea unafanya sales ya kwenye jambo gani??...........
Unamkumbua yule afisa uvuvi wa Mtera kule Dodoma aliyepelekea Pisikali amkabidhi bodaboda alale na mtoto wake ili yeye akale bata na afisa uvuvu wa magege na makambale ?Mimi ni mtu wa sales and marketing na huwa inanipa wakati mgumu kumuelezea mwanamke(hawa ambao ni zero brain waliojaa mitaani but ni pisi kali)
Kazi yangu inahusika na nini,na kwa nature ya kazi yangu naweza nikapitisha hata siku tatu nisiingie job as order zinakua zinaflow zenyewe tu kwa kupitia simu hivyo baadhi ya wanawake naokua nao huwa wanahisi sina ramani hivyo kunikimbia sometimes,but kiukweli nawaambia katika kampuni yoyote ile hakuna watu wana maisha mazuri na huwa hatufulii kama sisi watu sales and marketing department.
So baada ya kuona wanawake design flani hawanielewi kisa hawajui michongo ninayopiga nikaamua kufanya kautafiti kasiko rasmi
Nikagundua kuwa most of mademu mjini wanapenda kutoka na watu wenye title hizi,but hao watu hawana pesa kiukweli ila wana mbwembwe nyingi tu.
Madem wengi wanavutiwa na hizi titles
1.Wahasibu
2.Bankers
3.Auditors
4.Doctors
5.Pilots
6.Engineers ingawa sio sana coz most of them wanaonekana hard-cores.
7.Wanajeshi
8.Advocates
Ndugu yangu ukitongoza mwanamke useme wewe sijui ni mtu wa sales au sijui afisa kilimo lazima ule za mbavu.
Ishu awe mke wa mtu sasa unauziwa kesi kirahisi sana😃🤣🤣🤣🤣Mnapigia humohumo 🥴
Bff yani nachoka sana (In makongoro Nyerere voice) 😹😹😹Utaweza kuzungusha mabeseni kutoka mbagala hadi kivule 🤣
🤣🤣 Ndiyo haohao kwani nazungumzia naniIshu awe mke wa mtu sasa unauziwa kesi kirahisi sana😃