Hivi kwanini wanawake wa kitanzania wanapenda kutoka kimapenzi na watu wanaofanya kazi hizi?

Hivi kwanini wanawake wa kitanzania wanapenda kutoka kimapenzi na watu wanaofanya kazi hizi?

Wanawake wengi wakiona umependeza tuu na unafanya kazi hizo sehemu tajwa hapo juu, hata kama take home ni 700k, wao wanakuona ni wa maana sana, ikitokea ukawa na ka gari kako hapo umewamaliza, Yani kila baada ya mwezi utakua unaenda kuchukua doze ya UTI
 
Yaani hyo list uliyoiweka unajifaninisha nao kweli wewe mtu wa sales and marketing are you serious.
Una gari ww?
Nyumba yako?
Familia?
Au ndio kazi mademu tu kijana
Ukiwa sales kupata gari nyumba na familia sio kazi ...........hivyo huwa vinakuja automatically..........ila inategemea unafanya sales ya kwenye jambo gani??...........
 
Kazi ni kazi unayoidharau mwenzako inamfanya aishi. Utakuwa na shida sio bure.
Na mimi sijadhamdhara, kama gari anayo, ana familia, na yeye ni mtu wa sales, mademu wa nn? Tatizo linaanza hapo, shida wengi wenu, hata kada yenu hamuifahamu mnaichukulia poa.
Nimefanya sales 15 years, kabla sijaamua kwenda mbele ya safari.
 
Ukiwa sales kupata gari nyumba na familia sio kazi ...........hivyo huwa vinakuja automatically..........ila inategemea unafanya sales ya kwenye jambo gani??...........
Yes naelewa ndio maana nimemuuliza hvo vtu anavyo. Na kama anavyo, mademu yeye wa nn, wakukaa nae siku moja na wanamuacham ana shida pahali.
 
Mimi ni mtu wa sales and marketing na huwa inanipa wakati mgumu kumuelezea mwanamke(hawa ambao ni zero brain waliojaa mitaani but ni pisi kali)

Kazi yangu inahusika na nini,na kwa nature ya kazi yangu naweza nikapitisha hata siku tatu nisiingie job as order zinakua zinaflow zenyewe tu kwa kupitia simu hivyo baadhi ya wanawake naokua nao huwa wanahisi sina ramani hivyo kunikimbia sometimes,but kiukweli nawaambia katika kampuni yoyote ile hakuna watu wana maisha mazuri na huwa hatufulii kama sisi watu sales and marketing department.

So baada ya kuona wanawake design flani hawanielewi kisa hawajui michongo ninayopiga nikaamua kufanya kautafiti kasiko rasmi

Nikagundua kuwa most of mademu mjini wanapenda kutoka na watu wenye title hizi,but hao watu hawana pesa kiukweli ila wana mbwembwe nyingi tu.

Madem wengi wanavutiwa na hizi titles
1.Wahasibu
2.Bankers
3.Auditors
4.Doctors
5.Pilots
6.Engineers ingawa sio sana coz most of them wanaonekana hard-cores.
7.Wanajeshi
8.Advocates

Ndugu yangu ukitongoza mwanamke useme wewe sijui ni mtu wa sales au sijui afisa kilimo lazima ule za mbavu.
Unamkumbua yule afisa uvuvi wa Mtera kule Dodoma aliyepelekea Pisikali amkabidhi bodaboda alale na mtoto wake ili yeye akale bata na afisa uvuvu wa magege na makambale ?
 
Back
Top Bottom