Hivi kwanini wanawake wa kitanzania wanapenda kutoka kimapenzi na watu wanaofanya kazi hizi?

mshamba
 
Ahsante kwa muongozo mkuu.

Najiona hapo kumbe sipo pabaya[emoji1][emoji1]
 
Huu uzi bila kuweka walimu ni batili.
 
Nikagundua kuwa most of mademu mjini wanapenda kutoka na watu wenye title hizi,but hao watu hawana pesa kiukweli ila wana mbwembwe nyingi tu.
Doctors hawana pesa!!?(😅) you r not seroius
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…