Wagumu Tunadumu
JF-Expert Member
- Dec 10, 2022
- 5,276
- 17,354
Ningekuwa doctor sjui ingekuwaje
Maana sahiv tu npo sipo lakin madem beki hazikab

Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mshambaMimi ni mtu wa sales and marketing na huwa inanipa wakati mgumu kumuelezea mwanamke(hawa ambao ni zero brain waliojaa mitaani but ni pisi kali)
Kazi yangu inahusika na nini,na kwa nature ya kazi yangu naweza nikapitisha hata siku tatu nisiingie job as order zinakua zinaflow zenyewe tu kwa kupitia simu hivyo baadhi ya wanawake naokua nao huwa wanahisi sina ramani hivyo kunikimbia sometimes,but kiukweli nawaambia katika kampuni yoyote ile hakuna watu wana maisha mazuri na huwa hatufulii kama sisi watu sales and marketing department.
So baada ya kuona wanawake design flani hawanielewi kisa hawajui michongo ninayopiga nikaamua kufanya kautafiti kasiko rasmi
Nikagundua kuwa most of mademu mjini wanapenda kutoka na watu wenye title hizi,but hao watu hawana pesa kiukweli ila wana mbwembwe nyingi tu.
Madem wengi wanavutiwa na hizi titles
1.Wahasibu
2.Bankers
3.Auditors
4.Doctors
5.Pilots
6.Engineers ingawa sio sana coz most of them wanaonekana hard-cores.
7.Wanajeshi
8.Advocates
Ndugu yangu ukitongoza mwanamke useme wewe sijui ni mtu wa sales au sijui afisa kilimo lazima ule za mbavu.
Wewe ni nani kitaaluma mNingekuwa doctor sjui ingekuwaje
Maana sahiv tu npo sipo lakin madem beki hazikab
Si bet anapanga mechi kadhaa tu shwaaBff yani nachoka sana (In makongoro Nyerere voice) 😹😹😹
Jamaa anakwambia kazi anafanyia ndani, sasa sijui mabeseni anauzia store 🤣
Ahsante kwa muongozo mkuu.Mimi ni mtu wa sales and marketing na huwa inanipa wakati mgumu kumuelezea mwanamke(hawa ambao ni zero brain waliojaa mitaani but ni pisi kali)
Kazi yangu inahusika na nini,na kwa nature ya kazi yangu naweza nikapitisha hata siku tatu nisiingie job as order zinakua zinaflow zenyewe tu kwa kupitia simu hivyo baadhi ya wanawake naokua nao huwa wanahisi sina ramani hivyo kunikimbia sometimes,but kiukweli nawaambia katika kampuni yoyote ile hakuna watu wana maisha mazuri na huwa hatufulii kama sisi watu sales and marketing department.
So baada ya kuona wanawake design flani hawanielewi kisa hawajui michongo ninayopiga nikaamua kufanya kautafiti kasiko rasmi
Nikagundua kuwa most of mademu mjini wanapenda kutoka na watu wenye title hizi,but hao watu hawana pesa kiukweli ila wana mbwembwe nyingi tu.
Madem wengi wanavutiwa na hizi titles
1.Wahasibu
2.Bankers
3.Auditors
4.Doctors
5.Pilots
6.Engineers ingawa sio sana coz most of them wanaonekana hard-cores.
7.Wanajeshi
8.Advocates
Ndugu yangu ukitongoza mwanamke useme wewe sijui ni mtu wa sales au sijui afisa kilimo lazima ule za mbavu.
ukiona tupikipik tumeandikwa vifupi vya serikaliWewe ni nani kitaaluma m
Huu uzi bila kuweka walimu ni batili.Mimi ni mtu wa sales and marketing na huwa inanipa wakati mgumu kumuelezea mwanamke(hawa ambao ni zero brain waliojaa mitaani but ni pisi kali)
Kazi yangu inahusika na nini,na kwa nature ya kazi yangu naweza nikapitisha hata siku tatu nisiingie job as order zinakua zinaflow zenyewe tu kwa kupitia simu hivyo baadhi ya wanawake naokua nao huwa wanahisi sina ramani hivyo kunikimbia sometimes,but kiukweli nawaambia katika kampuni yoyote ile hakuna watu wana maisha mazuri na huwa hatufulii kama sisi watu sales and marketing department.
So baada ya kuona wanawake design flani hawanielewi kisa hawajui michongo ninayopiga nikaamua kufanya kautafiti kasiko rasmi
Nikagundua kuwa most of mademu mjini wanapenda kutoka na watu wenye title hizi,but hao watu hawana pesa kiukweli ila wana mbwembwe nyingi tu.
Madem wengi wanavutiwa na hizi titles
1.Wahasibu
2.Bankers
3.Auditors
4.Doctors
5.Pilots
6.Engineers ingawa sio sana coz most of them wanaonekana hard-cores.
7.Wanajeshi
8.Advocates
Ndugu yangu ukitongoza mwanamke useme wewe sijui ni mtu wa sales au sijui afisa kilimo lazima ule za mbavu.
Kumbe Afisa ubashiri 😹Si bet anapanga mechi kadhaa tu shwaa
Doctors hawana pesa!!?(😅) you r not seroiusNikagundua kuwa most of mademu mjini wanapenda kutoka na watu wenye title hizi,but hao watu hawana pesa kiukweli ila wana mbwembwe nyingi tu.
Boda-boda.... wanawala sanamaafisa usafirishaji
Dfpaukiona tupikipik tumeandikwa vifupi vya serikali