Ave Ave Maria
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 10,707
- 5,678
Naunga mkono hoja. Wanaume wa kisukuma wapo juu kama dege la Obama! Lol.
:juggle:
Dadavua mada mkuu mmekutana nao wapi? na wanawapenda kivipi, inawezekana wanawapenda kwasababu ni wafanyakazi wazuri, so dont jump 2 conclusion.
Ni nini siku hizi mkuu? Why all this generalisation aisee??
huwezi kusema wanawapenda kwa maana ya kuwa wana fall in love
wanawapenda kwa maana ya ku prefer.....hata kama sio love inahusika..
wasukuma ni wapole,wanapenda sifa ya matumizi
ni rahisi kudanganywa.....
ni every woman's dream kupata watu wa aina hiyo
hasa kama ni wanawake wanaopenda 'kumuweka mwanaume kiganjani'.....
Sukuma's got it all.
Na wewe una Msukuma wako?:tongue:
mwenye sifa zote za kuitwa MWANAUME....
Heheheheheee akisoma hii nina hakika atatabasamu!
ila wana wivu hao mmh, utamuweka kiganjani lkn utakoma anakufuatilia weeee mmh.
Hahahahaha. . .smart move Boss.except you and Lizzy offcourse...lol
mimi ukitaka kunimaliza weka mwanaume wa kichaga,msukuma,mgita na mkurya hao viumbe bwana mi kwishney kabisa, kwanza sura zao tu ni za kiume.loh
hahaaaaaaaa smile itabidi nimfiche huyu msukuma wangu msije gongana.
ila wana wivu hao mmh, utamuweka kiganjani lkn utakoma anakufuatilia weeee mmh.
Nimekutana na wanawake wengi, na wanasema wanapenda sana wanaume wa kisukuma sijajua kwann wanapenda?
umeona Chauro eeeh!! mi mwenyewe ngastuka na machale kundesa....khaa!! halafu ka Smile kalivo kajanja janja!!!
ndo maana hii inahusu sana mae...ote naiyo taratibuu bana wasikusikie mie na kitu toka tanganyika hivi viumbe adimu lazima tuvihandle with care waache hao wanaopinga hawajui siri ya urembo:A S-coffee:.
huwezi kusema wanawapenda kwa maana ya kuwa wana fall in love
wanawapenda kwa maana ya ku prefer.....hata kama sio love inahusika..
wasukuma ni wapole,wanapenda sifa ya matumizi
ni rahisi kudanganywa.....
ni every woman's dream kupata watu wa aina hiyo
hasa kama ni wanawake wanaopenda 'kumuweka mwanaume kiganjani'.....
Wewe mwanaume mwanamke?