Hivi kwanini wanawake wengi wanapenda Wasukuma?

Hivi kwanini wanawake wengi wanapenda Wasukuma?

Dadavua mada mkuu mmekutana nao wapi? na wanawapenda kivipi, inawezekana wanawapenda kwasababu ni wafanyakazi wazuri, so dont jump 2 conclusion.

Poa ngoja:-
Wanapenda wasukuma kwa sababu
1. Wanajua mambo ya 6X6
2. Wachapa kazi
3. Wanajari
4. Wakarimu
5. Wananguvu kwa sababu wanakula ugali mgumu (Hawali chips)
6.Wanamapenzi ya dhati.
7. sio wachoyo
8. Ni wawazi
9. Siyo masharobaro
 
huwezi kusema wanawapenda kwa maana ya kuwa wana fall in love

wanawapenda kwa maana ya ku prefer.....hata kama sio love inahusika..

wasukuma ni wapole,wanapenda sifa ya matumizi
ni rahisi kudanganywa.....

ni every woman's dream kupata watu wa aina hiyo

hasa kama ni wanawake wanaopenda 'kumuweka mwanaume kiganjani'.....

na mimi nikisema kuna wanao fall in love na wengine wanao prefer kuwa na wasukuma nakosea?

halafu bossman kuspend au kutospend haitokani na usukuma mi nadhani tu inategemea na mipango na matumizi ya muhusika. na hii haimaanishi ndo kupenda 'show off' kwa wasukuma. Kuna baadhi ya wanaume huwa wanadhani ukitumia pesa nyingi kwa mwanamke basi ndo atajua unampenda...sio kweli!!

Halafu ngoja nikwambie Bosi, hii dhana ya kuwekana kiganjani ndo ile mwanaume akionyesha mapenzi basi kashikiliwa na mke? Sasa kwa taarifa yako tupo wanawake tunaopenda tough love, mwanaume anachukua nafasi yake kama manaume na mambo kama hayo!!!! Hawashikwi masikio wanaume wa kisukuma (najisikia uvivu kuandika vinginevyo ningekupa dozi)

Hii imenikumbusha mada miaka miwili ilopita moja tuliwajadili sana hawa viumbe humu!

Sukuma's got it all.
 
hahaaaaaaaa smile itabidi nimfiche huyu msukuma wangu msije gongana.

mimi ukitaka kunimaliza weka mwanaume wa kichaga,msukuma,mgita na mkurya hao viumbe bwana mi kwishney kabisa, kwanza sura zao tu ni za kiume.loh
 
  • Thanks
Reactions: bht
hahaaaaaaaa smile itabidi nimfiche huyu msukuma wangu msije gongana.

umeona Chauro eeeh!! mi mwenyewe ngastuka na machale kundesa....khaa!! halafu ka Smile kalivo kajanja janja!!!
 
ila wana wivu hao mmh, utamuweka kiganjani lkn utakoma anakufuatilia weeee mmh.

wivu kawaida tu kwenye mapenzi ndugu...
Hivi unaanzaje 'kumuweka kiganjani' mtu mzima na akili zake timamu? Labda tu aamue kujiweka yeye basi..
 
Nimekutana na wanawake wengi, na wanasema wanapenda sana wanaume wa kisukuma sijajua kwann wanapenda?

kwa nini usiwaulize hao wanawake unakuja kutuuliza sisi, sasa sie tutajuaje?
 
ote naiyo taratibuu bana wasikusikie mie na kitu toka tanganyika hivi viumbe adimu lazima tuvihandle with care waache hao wanaopinga hawajui siri ya urembo:A S-coffee:.

umeona Chauro eeeh!! mi mwenyewe ngastuka na machale kundesa....khaa!! halafu ka Smile kalivo kajanja janja!!!
 
  • Thanks
Reactions: bht
ote naiyo taratibuu bana wasikusikie mie na kitu toka tanganyika hivi viumbe adimu lazima tuvihandle with care waache hao wanaopinga hawajui siri ya urembo:A S-coffee:.
ndo maana hii inahusu sana mae...
Nyumba hujengwa kwa hekima,na kuimarishwa kwa busara.Kwa maarifa vyumba vyake hujazwa vitu vya thamani na vya kupendeza(mithali 24:3-4).
 
huwezi kusema wanawapenda kwa maana ya kuwa wana fall in love

wanawapenda kwa maana ya ku prefer.....hata kama sio love inahusika..

wasukuma ni wapole,wanapenda sifa ya matumizi
ni rahisi kudanganywa.....

ni every woman's dream kupata watu wa aina hiyo

hasa kama ni wanawake wanaopenda 'kumuweka mwanaume kiganjani'.....

huh?!:shock: ... like that.. naomba kama kuna mwanamume wa kisukukma tuwasiliane PM huenda nikabahatisha na mie, loh sikujua kama watu wa aina hii bado wapo dunia hii!!!
 
Back
Top Bottom