Sasa si inategemea ya mwaka gani mkuu kama ni ya 2015 kwa nchi kama ya kwetu utasema yuko nyuma pia?Yani ndio ananunua bmw x3 leo???? Yuko nyuma sana
Kweli kabisa sababu inategemea na gari imetembea kilometer ngapi pia sababu huwezi fananisha bei ya gari iliyotembea km 100,000/= na gari iliyotembea km 20,000/=Kwani bei za magari ya mtumba zinafanana? Mmoja akinunua vitz ya 10mil sio lazima wote wanunue kwa bei hiyo.
Bei za magari zinatofautiana, japo zaweza kuwa mwaka mmoja, i.e 2010, inawezekana sana moja likauzwa $2000, na lingine likauzwa $5000.
Ya MC ni toleo la mwaka gani na yakwako unayotaka kuagiza ya mwaka gani...ebu tupe specifications zote za ya kwako na ya MC, huku wadadisi tuchunguze wenyewe kama kuna ukweli kwenye hoja yako. Pia tuambia na mlolongo mzima wa kupata hiyo gari....!!Jana nimeshangaa kumsikia MC Pili pili akijidai kuwa ameuziwa gari aina ya BMW X3 kwa zaidi ya sh milioni thelasini, wakati mimi nikipiga garama za kuagiza hiyo gari wala hata hazizidi milioni ishirini na mbili.
Ohooooo!!!kuna kipindi alikuwa karibu na mrembo mmoja wa bongo movie ndio huyo aliyemliza jamaa??Ni yule mgogo aliekua akijiliza kwenye mitandao ya kijamii, kisa kaachika.... tehteehhh
Pigia mstari ariff..... tehteehhhOhooooo!!!kuna kipindi alikuwa karibu na mrembo mmoja wa bongo movie ndio huyo aliyemliza jamaa??
Pole yake kijana,chuma cha ukweli sana kile mtoto rangi ya pipi.Pigia mstari ariff..... tehteehhh
Exactly....katika bei wanazotajaga huwa wanaongeza sifuri moja mbele, akikwambia kajenga nyumba ya mil 300, ujue thamani halisi ni mil 30....
Ila hata kwa kuiangalia (you tube) sio ya sifa unazozitaja mkuuBei za magari hazifanani hata siku moja. Inategemea na muuzaji wa gari, na condition ya gari husika. Unaweza kukuta huyo MC Pilipili amenunau gari ambayo ni 0 km au ipo low millage, wakat wewe hiyo yako ya milion 22 imetembea millage za kufa mtu!!!
Ile nahisi ni kiki tuNi yule mgogo aliekua akijiliza kwenye mitandao ya kijamii, kisa kaachika.... tehteehhh
ChilihamongaUnatukosea heshima mkuu..
Sitaki kuamini aiseeeee....[emoji15] [emoji15] [emoji15]Ile nahisi ni kiki tu
mbeka muwaha, Mantu ganji gena mitwe mibovu sasa...Chilihamonga
Yaan wanamaanisha jipya kwao mwanzon hakuna nalo.Mimi hua sielewi pale ninaposikia eti msanii fulani kanunua gari JIPYA! wakati ukilitizama gari lenyewe sio jipya! Yaani mpaka magazeti huandika mfano Ali kiba/Diamond anunua ndinga mpya,ila gari ni used!!!!
Sasa sijui kusema gari "Jipya" hua wana maanisha nini?!
Sifa kuu ya msanii ni kutaka attention za watu na kuonekana tofauti na sisi watu wa kawaida.Mimi najiuliza pia why kila msanii anaona BMW??