Hivi kwanini wasanii (mfano MC Pilipili) huuziwa magari bei juu kuliko watu wengine?

Hivi kwanini wasanii (mfano MC Pilipili) huuziwa magari bei juu kuliko watu wengine?

Bei za magari hazifanani hata siku moja. Inategemea na muuzaji wa gari, na condition ya gari husika. Unaweza kukuta huyo MC Pilipili amenunau gari ambayo ni 0 km au ipo low millage, wakat wewe hiyo yako ya milion 22 imetembea millage za kufa mtu!!!
Au mwaka iliyotengenezwa. Gari ya mwaka 1999 haiwezi kuwa sawa na gari ya 2014.

Pamoja na hayo wasanii wa kibongo huweka usanii kwenye kila kitu... mpaka misiba!
 
Back
Top Bottom