Asprin JF-Expert Member Joined Mar 8, 2008 Posts 68,223 Reaction score 96,083 May 29, 2018 #81 twitter said: Bei za magari hazifanani hata siku moja. Inategemea na muuzaji wa gari, na condition ya gari husika. Unaweza kukuta huyo MC Pilipili amenunau gari ambayo ni 0 km au ipo low millage, wakat wewe hiyo yako ya milion 22 imetembea millage za kufa mtu!!! Click to expand... Au mwaka iliyotengenezwa. Gari ya mwaka 1999 haiwezi kuwa sawa na gari ya 2014. Pamoja na hayo wasanii wa kibongo huweka usanii kwenye kila kitu... mpaka misiba!
twitter said: Bei za magari hazifanani hata siku moja. Inategemea na muuzaji wa gari, na condition ya gari husika. Unaweza kukuta huyo MC Pilipili amenunau gari ambayo ni 0 km au ipo low millage, wakat wewe hiyo yako ya milion 22 imetembea millage za kufa mtu!!! Click to expand... Au mwaka iliyotengenezwa. Gari ya mwaka 1999 haiwezi kuwa sawa na gari ya 2014. Pamoja na hayo wasanii wa kibongo huweka usanii kwenye kila kitu... mpaka misiba!