road master
JF-Expert Member
- Jun 11, 2020
- 2,064
- 3,021
Asikudanganye mtu ndugu yangu serikalini patamuuu haswa haswa !!! Sector binafsi ni shida tupu tupu tupu uliza uambiwe !!! Serikalin pesa ni ya uhakika kuliko sector binafsi!!! Serikalini walim walio fundisha muda wako juuu sana mshahara mfano aliyefundisha 10 years plus anaongelea G ambaya nafikiri itakya 1600,000/ per month !!! Nani sekta binafsi atakulipa hiyo!??Hii ni kweli, Nina classmate wangu alikua anafundisha Private anakula 900k take home, akaomba ajira za serikali akapata bila kujiuliza akaenda,
Nikijana kabisa 28 yrs anakimbilia serikalini, kuanza kuwaza kiinua mgongo na vijisababi vingine vya kijinga Eti security.
Watu wanakopa benk mpaka 40,000,000/ wapi sector binafsi ataruhusi hiyo!?? Bima za afya kwa familia nk !!! Watu wanapigwa kiinua mgongo mpaka 150,000,000/
Na bado monthly pension 800,000/ kila mwezi mpaka ufe na kutibiwa bure mpaka ufe!!! Nani mwenye akili atakataa hilo!!??
Private ni mavi takataka asikwambie mtu !!! Uliza private gani inaweza lipa mwalimu hata 1200,000!?? Zipo ngapi!!???