Hivi kwanini watu pwani hasa hasa wa Tanga wanapenda kulaani wenzao for no reason? Unafiki wa dini usipime

Fahari ya kusini

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2022
Posts
545
Reaction score
1,908
Watu wa Tanga wananiacha hoi sana sijui wanashida gani hasa hawa watu aisee mimo nimewa define neshindwa kuwaelewa ni watu ambao kutaka kuwatolea laana wenzio ni dakika mbilo tu yaani mkipishana kauli tu anakuambia nitakulaani yaani umlaani mwenzio kwani wewe ni Mwenyezimungu? Yaani neno laana kwao ni dakika mbilo tu yaani umlaani vp mtu ambae si mwanao acheni hizo bwana

Na hiki kitendo cha kujifanya ni watu wa dini yaani kujifanya ni wafia dini hasa kumbe ni wanafiki na washirikina kupita maelezo haya hiki kitendo kinanikera sana kujifanya kuwa na dini kumbe hovyo kabisa hiki kitendo kinachafua sana yaani midomoni mwao Mwenyezimungu hakauki kutajwa kwao ila watu hao hao wanamshirilisha Mwenyezimungu! Badilikeni mnanikera
 
Ivi waganga wengi kutokea eneo flani ni kiashiria cha ushirikina?! Au huonesha kua watu hao wapo vizuri kiroho (spiritualism)?? Au spirituality pia ni uchawi?
 
Watu wa Tanga wananiacha hoi sana sijui wanashida gani hasa hawa watu aisee mimo nimewa define neshindwa kuwaelewa ni watu ambao kutaka kuwatolea laana wenzio ni dakika mbilo tu yaani mkipishana kauli tu anakuambia nitakulaani yaani umlaani mwenzio kwani wewe ni Mwenyezimungu? Yaani neno laana kwao ni dakika mbilo tu yaani umlaani vp mtu ambae si mwanao acheni hizo bwana

Na hiki kitendo cha kujifanya ni watu wa dini yaani kujifanya ni wafia dini hasa kumbe ni wanafiki na washirikina kupita maelezo haya hiki kitendo kinanikera sana kujifanya kuwa na dini kumbe hovyo kabisa hiki kitendo kinachafua sana yaani midomoni mwao Mwenyezimungu hakauki kutajwa kwao ila watu hao hao wanamshirilisha Mwenyezimungu! Badilikeni mnanikera
Hakuna laana mkuu. Ni fix tu
 
Umasikini na ujinga:

Screenshot 2025-08-04 122645.png
 
Back
Top Bottom