Sun is Sun
JF-Expert Member
- Mar 13, 2024
- 1,254
- 2,014
Ndugu ungeanza wewe kwanza, kwa nini huamini kwamba yupo?Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Nataka niwaulize tu, Kwanini mnaamini kuwa kuna Mungu?
Nawatakia wakati mwema.
Ni mada tata, anataka reactions,yuko obsessed na reactions za jfNdugu ungeanza wewe kwanza, kwa nini huamini kwamba yupo?
Nilikaa chini nikajiuliza hivi muwa hutoa wapi sukari kwa udongo🤔, jibu likanijia ni mungu muweza wa yote😎Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Nataka niwaulize tu, Kwanini mnaamini kuwa kuna Mungu?
Nawatakia wakati mwema.
Kwanini usiamini kuwa yupo?Nataka niwaulize tu, Kwanini mnaamini kuwa kuna Mungu?
Kwa kuamini kwao Mungu yupo wewe unapata hasara gani faida gani au kwa wewe kutokuamini kama Mungu yupo unadhani wao wanapata hasara gani au aida gani?Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Nataka niwaulize tu, Kwanini mnaamini kuwa kuna Mungu?
Nawatakia wakati mwema.
Kwanini hiyo Nguvu ndio Mungu na si kitu kingine??Ni issue complex sana, lakini unaamini kuwa Dunia hii na ulimwengu huu wote uliyojaa ma trillion ya nyota na galaxies kwamba vilitokea tu Kwa tukio la ajali? Au mifumo ya kimaisha ya mimea na wanyama ilitokea tu Kwa ajali au kulikuwa na nguvu isiyoonekana Kwa macho iliyosababisha hayo kutokea? Kama unaamini Kuna nguvu fulani isiyoonekana Kwa macho ilisababisha hayo basi hiyo nguvu ndiyo Mungu
Umewqza kitoto sana ,nani aliyekwambia alivyoumba ndio vimebaki hivyohivyo?? Hujui maama ya evolution?? Hilo swali la nyani aliumbwa na nani aliyokeaje?? Hata wewe ukiulizwa huyo mungu aliumbwa na nani aliyokeaje huwezo kujibu .Ngoja nimjibu,
Mimi naamini Mungu yupo kwa sababu tangu aumbe viumbe vyote vipo jinsi hiyohiyo kama alivyoviumba.
Mfano mwanadamu.
Tunaaminishwa kuwa binadamu alitokana na nyani/sokwe, haya, hebu nikubali sawa, kisha niulize swali je huyo sokwe/nyani aliumbwa na nani!? Au alitokeaje?
Kwanini haendelei kutokea na kuendelea kubadilika?
MUNGU YUPO BANA!!
Kwa jinsi Wanadamu wanavyoteseka hapa duniani nachelea kusema Mungu hayupoNdugu ungeanza wewe kwanza, kwa nini huamini kwamba yupo?