Sun is Sun
JF-Expert Member
- Mar 13, 2024
- 1,254
- 2,014
- Thread starter
- #21
Kweli Mkuu
Kweli Mkuu
Mungu yupo ila haratibu matukio yetu. Katuumba Kisha katucha tuushi tu, hapangi matukio.Kwa jinsi Wanadamu wanavyoteseka hapa duniani nachelea kusema Mungu hayupo
Nakereka watu wanaposifia kiumbe ambacho hakijawahi kuwasaidiaKwa kuamini kwao Mungu yupo wewe unapata hasara gani faida gani au kwa wewe kutokuamini kama Mungu yupo unadhani wao wanapata hasara gani au aida gani?
Ujinga tu,unapenda mpira sipendi mpira unapenda pombe sipendi pombe kwani haitoshi kuishi kwenye codes ulizojipangia mwenyewe hata utake kuingia kwenye anga za wengine?
Hii ni maajabu,unakereka?Nakereka watu wanaposifia kiumbe ambacho hakijawahi kuwasaidia
Ila hata wewe umewaza kitoto pia, kwa maana nawe hujui kitu ila umelishwa maneno na kuyang'ang'ania yalivyo bila ushahidi. Maana evolution umesema ni mchakato wa mamilioni ya miaka. Sasa hayo mamilioni ya miaka nani aliishi na kuona viumbe wakibadilika!? Lakini Mungu anajidhihirisha katika kazi zake, tunaziona, tunaamini.Umewqza kitoto sana ,nani aliyekwambia alivyoumba ndio vimebaki hivyohivyo?? Hujui maama ya evolution?? Hilo swali la nyani aliumbwa na nani aliyokeaje?? Hata wewe ukiulizwa huyo mungu aliumbwa na nani aliyokeaje huwezo kujibu .
Hilo swali la kwanini haendelei kubadilika pia ni la kitoto,evolution ni mchakato wa mamilioni ya miaka kwahiyo hata ewe ishi miaka milioni utaona wakibadilika
Wewe huna akili ,unajua maama archiology,mbona kila kitu kinaonekana kwa macho kabisa,umelishwa matango sunday school,,hizo kazi za mungu zilijojidhihirisha ukaziona alikwambia ni zake?? Au umelishwa tu matango poriIla hata wewe umewaza kitoto pia, kwa maana nawe hujui kitu ila umelishwa maneno na kuyang'ang'ania yalivyo bila ushahidi. Maana evolution umesema ni mchakato wa mamilioni ya miaka. Sasa hayo mamilioni ya miaka nani aliishi na kuona viumbe wakibadilika!? Lakini Mungu anajidhihirisha katika kazi zake, tunaziona, tunaamini.
Ama kweli hii ni laana.Wewe huna akili ,unajua maama archiology,mbona kila kitu kinaonekana kwa macho kabisa,umelishwa matango sunday school,,hizo kazi za mungu zilijojidhihirisha ukaziona alikwambia ni zake?? Au umelishwa tu matango pori
Hizo salamu peleka Lumumba, umesikia kuna mtu anazishadadia mitaani?Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Nataka niwaulize tu, Kwanini mnaamini kuwa kuna Mungu?
Nawatakia wakati mwema.
Umeandika ujinga,hakuna kitu kinaitwa shetani hayo ni mawazo yako tu ya kijinga,huyo luka hajawahi kuwepo hakuna hata mfupa wake kwenye historia,ni mtu wa kufikirikaAma kweli hii ni laana.
Mungu ni mwenye rehema sana. Leo nimekutana na binadamu anayejiona mwenye akili kiasi cha kudai Mungu hayupo, kisha Mungu kwa upendo wake anakuacha tu. Anyway Mungu ni wa utaratibu, atakujia kwa wakati wake.
Ikiwa namwomba Mungu na kujibiwa maombi yangu kama nilivyoomba, wewe ni nani uniambie et naaminije kuwa ni kazi zake?
Kuna uwezekano nyie watu mkawa sio uzao wa mwanadamu bali wana wa shetani mliojipenyeza na kuishi katikati ya wanadamu mkijifanya mna akili nyingi ili mjaribu kushawishi wanadamu waamini kwamba hakuna Mungu.
Kama ni kweli baba yako ibilisi kakutuma, BWANA MUNGU WA MAJESHI NA AKUKEMEE.
Luka 17 (Biblia Takatifu)
¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯
¹ ...........Makwazo hayana budi kuja, lakini ole wake mtu yule ambaye yaja kwa sababu yake!
² Ingemfaa zaidi mtu huyo jiwe la kusagia lifungwe shingoni mwake, akatupwe baharini, kuliko kumkosesha mmojawapo wa wadogo hawa.
Karibu litakustahili hili fungu.
Ahaa!!Umeandika ujinga,hakuna kitu kinaitwa shetani hayo ni mawazo yako tu ya kijinga,huyo luka hajawahi kuwepo hakuna hata mfupa wake kwenye historia,ni mtu wa kufikirika
Rejea ipiAhaa!!
Unaweza ukawa pia umejibu kijinga kwa sababu hata wewe rejea zako zimeandikwa na watu ambao pia huwajui na pengine nao hawapo na hawajawahi kuwepo. Kama ni historia nawe umeikuta.
MUNGU YUPO!
Iliyochochea msimamo wako kuhusu Mungu.Rejea ipi
LogicIliyochochea msimamo wako kuhusu Mungu.
LIliwakuta jamboNawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Nataka niwaulize tu, Kwanini mnaamini kuwa kuna Mungu?
Nawatakia wakati mwema.
Biblia sio kitabu cha MunguMimi naongezea swali kwamba;
1. Kwanini watu wanaamini stori za kwenye biblia, kurani, Torati, Talmud n.k ni maneno ya Mungu?
2. Mmeshawishikaje kuamini kwamba waandishi zaidi ya 40 walioandika vitabu na story za biblia walikuwa wanaandika kwa niaba ya Mungu?
Unahitaji kurudi shule.Nilikaa chini nikajiuliza hivi muwa hutoa wapi sukari kwa udongo🤔, jibu likanijia ni mungu muweza wa yote😎
mimi siamini mungu yupo! lkn nakuuliza wewe kwamba unatutakia wkt mwema utoke kwa nani?Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Nataka niwaulize tu, Kwanini mnaamini kuwa kuna Mungu?
Nawatakia wakati mwema.