Hivi kwanini watu wanaamini kuwa Mungu yupo?

Nakereka watu wanaposifia kiumbe ambacho hakijawahi kuwasaidia
 
Sababu mojawapo ni kwamba mungu ni jibu rahisi kwa maswali magumu yanayoonekana kukosa majibu kwa binadamu mfano chanza cha ulimwengu, uhai, na kifo.
 
Nakereka watu wanaposifia kiumbe ambacho hakijawahi kuwasaidia
Hii ni maajabu,unakereka?

Hizo ni dalili za umama wewe kinakukera kitu gani mimi nikiamini?umekosa kazi za kufanya hadi unakaa unasikilizia wapi au nani atamtaja Mungu ili nafsi yako ikereke?
 
Ila hata wewe umewaza kitoto pia, kwa maana nawe hujui kitu ila umelishwa maneno na kuyang'ang'ania yalivyo bila ushahidi. Maana evolution umesema ni mchakato wa mamilioni ya miaka. Sasa hayo mamilioni ya miaka nani aliishi na kuona viumbe wakibadilika!? Lakini Mungu anajidhihirisha katika kazi zake, tunaziona, tunaamini.
 
Wewe huna akili ,unajua maama archiology,mbona kila kitu kinaonekana kwa macho kabisa,umelishwa matango sunday school,,hizo kazi za mungu zilijojidhihirisha ukaziona alikwambia ni zake?? Au umelishwa tu matango pori
 
Ama kweli hii ni laana.
Mungu ni mwenye rehema sana. Leo nimekutana na binadamu anayejiona mwenye akili kiasi cha kudai Mungu hayupo, kisha Mungu kwa upendo wake anakuacha tu. Anyway Mungu ni wa utaratibu, atakujia kwa wakati wake.

Ikiwa namwomba Mungu na kujibiwa maombi yangu kama nilivyoomba, wewe ni nani uniambie et naaminije kuwa ni kazi zake?
Kuna uwezekano nyie watu mkawa sio uzao wa mwanadamu bali wana wa shetani mliojipenyeza na kuishi katikati ya wanadamu mkijifanya mna akili nyingi ili mjaribu kushawishi wanadamu waamini kwamba hakuna Mungu.
Kama ni kweli baba yako ibilisi kakutuma, BWANA MUNGU WA MAJESHI NA AKUKEMEE.

Luka 17 (Biblia Takatifu)
¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯
¹ ...........Makwazo hayana budi kuja, lakini ole wake mtu yule ambaye yaja kwa sababu yake!
² Ingemfaa zaidi mtu huyo jiwe la kusagia lifungwe shingoni mwake, akatupwe baharini, kuliko kumkosesha mmojawapo wa wadogo hawa.
Karibu litakustahili hili fungu.
 
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Nataka niwaulize tu, Kwanini mnaamini kuwa kuna Mungu?

Nawatakia wakati mwema.
Hizo salamu peleka Lumumba, umesikia kuna mtu anazishadadia mitaani?

Tuanze na wewe mwenyewe, tandaza kwanza mawazo yako kama unaamini au hauamini na sababu, ndiyo tuje kusawazisha.
 
Umeandika ujinga,hakuna kitu kinaitwa shetani hayo ni mawazo yako tu ya kijinga,huyo luka hajawahi kuwepo hakuna hata mfupa wake kwenye historia,ni mtu wa kufikirika
 
Umeandika ujinga,hakuna kitu kinaitwa shetani hayo ni mawazo yako tu ya kijinga,huyo luka hajawahi kuwepo hakuna hata mfupa wake kwenye historia,ni mtu wa kufikirika
Ahaa!!
Unaweza ukawa pia umejibu kijinga kwa sababu hata wewe rejea zako zimeandikwa na watu ambao pia huwajui na pengine nao hawapo na hawajawahi kuwepo. Kama ni historia nawe umeikuta.
MUNGU YUPO!
 
Ahaa!!
Unaweza ukawa pia umejibu kijinga kwa sababu hata wewe rejea zako zimeandikwa na watu ambao pia huwajui na pengine nao hawapo na hawajawahi kuwepo. Kama ni historia nawe umeikuta.
MUNGU YUPO!
Rejea ipi
 
Biblia sio kitabu cha Mungu
 
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Nataka niwaulize tu, Kwanini mnaamini kuwa kuna Mungu?

Nawatakia wakati mwema.
mimi siamini mungu yupo! lkn nakuuliza wewe kwamba unatutakia wkt mwema utoke kwa nani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…