Hivi kwanini watu wapole wako hivi?

Kaluluma

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2019
Posts
468
Reaction score
619
Wasalaam wakuu.

Nimekuwa na ukaribu sana na watu wenye hulka ya upole, jinsia zote wa kike na wa kiume.

Ila hawa watu wapole wapo selective sana kwenye masuala ya kuchagua wenza au wapenzi wao.

Je, hii inachangiwa na wao kuogopa kuumizwa au? Maana anaweza kuingia kwenye mahusiano na akadumu kwa wiki tu ukimuuliza anakwambia ameona hayo mahusiano hayatafika mbali.

Hebu tusaidiane hapa wakuu.
 
Nadhani uko sahihi kuwa wengi ni waoga wa kuumizwa, shida kubwa ya watu wapole ni kuwa na hali ya kutafakari maumivu kwa muda mrefu, tofauti na watu wanaojichanganya, kwahiyo nadhani ni automatic mechanism inayofanya kazi kwenye mioyo yao ili kujilinda...
 
๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„ Wazee wa matukio
 
Wana matukio ya kibabe,kiasi kwamba ukionyeshwa aliyetenda unajiuliza mara mbilimbili ๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃwanamatukio ya ajabu mnoo...unaweza bishana na malaika kwa kumtetea mtu mpole

๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…Upole wao unanivutiaga ni kinyama. Sipendi mtu anaeongea sana๐Ÿ™ˆ
 
Walio wengi wana roho mbaya iliyojificha, maana ni ngumu kumtambua amekasirika au la, wanaficha mengi kwenye upole wao.

Sisi waongeaji hatufichi hisia zetu hata mtu hajakuuliza ushasema.

Nb sio wote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ