Hivi kwanini watu wapole wako hivi?

Hivi kwanini watu wapole wako hivi?

Kaluluma

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2019
Posts
468
Reaction score
619
Wasalaam wakuu.

Nimekuwa na ukaribu sana na watu wenye hulka ya upole, jinsia zote wa kike na wa kiume.

Ila hawa watu wapole wapo selective sana kwenye masuala ya kuchagua wenza au wapenzi wao.

Je, hii inachangiwa na wao kuogopa kuumizwa au? Maana anaweza kuingia kwenye mahusiano na akadumu kwa wiki tu ukimuuliza anakwambia ameona hayo mahusiano hayatafika mbali.

Hebu tusaidiane hapa wakuu.
 
Walio wengi wana roho mbaya iliyojificha, maana ni ngumu kumtambua amekasirika au la, wanaficha mengi kwenye upole wao.

Sisi waongeaji hatufichi hisia zetu hata mtu hajakuuliza ushasema.

Nb sio wote.
 
Back
Top Bottom