Hivi kwanini watu wapole wako hivi?

Kingine ambacho hamfahamu kuhusu wapole na wakimya.. ni kwamba kwa sisi wanaume tunapenda sana wanawake, maana level ya hisia zetu ni kali sana..

Ila pia hatupendi kuonekana kama tunapenda wanawake, watu wanachukulia ukimya na upole wetu kama ni kuwa serious sana ila haipo hivo kila wakati
 
Ni kweli Mkuu tena hii ina advantage sana mimi nilikopita wanawake wengi walinitunuku sababu kuu upole wangu, na ukiwa nae karibu anashangaa kweli anasema nilikuchukulia mtu wa kuringa sana kumbe ni tofauti uko mcheshi na wild sana. kati ya kumi, tisa hawawezi kuruka lazima waingie kingi tena wao ndo huanzisha indiketa za mahusiano ya kudumu sema changamoto inakuwa ngumu sababu ya kuwa too selective sana kupelekea mtu kuhisi humjali wala humpendi.
 
Wapole si ni malaya sana asikuambie mtu ila ni ngumu kutugundua pia tunajali sana na kutaake attention ya msichana ,ila sehemu tunayokwama ni ndogo sana tunaweza chaguaaa ila tunaangukia sehemu hata mtu awezi dhania.
 
Kuna upole na ukimya...

Mtu mpole mara nyingi huwa na ukimya fulani Ila mtu mkimya anaweza asiwe mpole kwa kiasi kikubwa sana...
Umeweka sawa kabisa hapo.
Kuna watu wanafikiri mkimya ndo mpole...tofauti kabisa.

Kuna lifala limoja likimya hilo lakini likatili kwenye anga zake balaa
 
Yaah kabisa aisee
 
Mimi sijawahi maliza miezi 2 na demu ,mke ni kwa vile ashakuwa mke nameza mate but demu anizingue kitu kidogo au Niko kwenye process ya kumuweka Kati akazingua hata kwa kauli huwa naachana nae mda huo huo hata kama alikula laki

Ukiona nimedumu na mwanamke awe mwepesi kusema samahani labda tofauti na hapo huwa najikataa mwenyewe

Nadhani sababu kubwa ni kwamba mapenzi/kutiana sio kipaombele au sio jambo lenye kupewa uzito na watu wapole maana wengi wao wanatumia akili zaidi kwenye maamuzi kuliko moyo
 
Ni kama asili tu ya wapole kama mimi huwa wadada ninaodate nao wanasemaga sura yangu muonekano na moyo wangu ni vitu tofauti sana.
Sababu mimi ukinikorofisha nakuacha na huwa sina tabia ya kurudia, nikiacha nimeacha hata uje na magoti au unatambaa.
Tuko pamoja huwa ni kama moyo wa kisasi na hatuwezi mfuatilie demu eti mtu anatongoza weee utafikiri anasaka utajiri

Huwa tunaweza predict tabia au matukio yajayo so tunajihami mapema Sana maana hatupendi magomvi
 
Ni kawaida kwa JF ... Members wa platform hii kila member ana gari .. Kila member hatumii tecno ..kila member ni muhitimu wa chuo kikuu and the likes
[emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wewe sio mpole ila ni mkimya sifa ya introvert ila kama uko pande zote kazi unayo.

Ushauri tafuta mwenye nafuu maana shida ya introvert ni kuona makosa zaidi kuliko mazuri wa mtu
 
Mimi pamoja na ukimya wangu ni penda penda, yaani kila nikimuona demu mzuri lazima nimtamani
Kama wewe ni introvert hii hulka ni bora hata mm Niko hivyo ,nasema ni bora kwa sababu ya tabia ya kuwa too selective,kuona madhsifu kuliko mazuri na pia Hali ya kutokudumu kwenye mahusiano kwa kushindwa kuvumilia baadhi ya tabia

Ko ukiwa penda penda inasaidia ukiacha hapa uko pengine,ko hata mm Niko hvyo natongoza kila siku lakini robo tatu au wote wa hao mademu naweza achana nao kwa makosa madogo but nakuwa nimeshindwa kuyavumilia mpaka unahisi labda una shida kumbe hata wenzangu mpo

Ko ingetokea sina ujasiri wa kutongoza sijui ingekuaje
 
Watu wa kimya mnasumbuliwa sana na stress
Manageable stress ,ila stress kama stress zinawaumiza Sana extrovert maana naona hawana uwezo wa kuishi nazo kama introvert

Mimi huwa nasema hakuna stress inayonishinda najua kujipa moyo na kuwa firm huwa sihitaji kuhurumiwa na mda wote Niko tayari kisaikolojia
 
Nami pia cocastic wangu, yaani hatuna maugomvi na watu. hata wayaleta unajifanya kama hujaona vile
Toka nimeanza kupanga Hadi najenga zaidi ya miaka 7 sijawahi gombana na mpangaji au jirani maana kwenye ugomvi unajiepusha wewe ni salamu miendo you just mind your own bznec

Hao wengine sasa ni shida na matukio tuu
 
Sahihi Mkuu,

Katika historia yangu ya mahusiano sijawahi kuumizwa, pia huwa nina kuwa makini sana na intuition vile tukikutana for the first time itakavyoniambia huwa naitilia maanani katika memory yangu, trust me sijawahi kuumizwa kwenye mahusiano ikitokea nikagundua indiketa za kucheat na achana nae kwa kumchana laiv it’s ova na wala sigeuki nyuma na sijawahi kujutia mahusiano hata mke niliyenae tunaishi poa sana kwa kuzingatia intuition at the first sight.
 
Hii kweli
 
Kweli mkuu mara nyingi hua ipo hivi , selective ndio teso kwa watu wapole inanikumba sana hii.
 
Mimi pia sijawahi kuumizwa kwenye tasnia ya Mapenzi, Emotional management yangu ndio silaha nzuri kwangu.
Mimi ni mgumu kuzikibali hisia kwa haraka both side mtongoza na mtongozwa. Mpaka kujiridhisha sana na nione huyu ana hisia za ndani na mimi kikubwa hua naziacha hisia za mwanzo zipite kwanza. Kisha zinazofuata ndio naanza kuzipeleleza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…