Hivi kwanini watu wapole wako hivi?

Hivi kwanini watu wapole wako hivi?

Nafkiri hicho kitu huwa kinanitesa pia... Akifanya kitu kinacho nikera naweza nikamkaushia tu ila ndo ikawa sababu ya kuachana kimasihara... Namuacha huku anaona kama nipo nae Hadi siku akishtuka anakuta mi nimeshamsahau na namba nimefuta
 
watu wapole huwa nawaogopa sana wanatumia upole wao kuficha uchafu wao
 
Nimefurahishwa sana baada ya kuona idadi kubwa ya Wana JF ni wapole na wakimya ni mtazamo mzuri
 
Yaani kukaa na li'mtu haliongei ata lipo2 kimya hujui linakufikiriaje..!!Je kama linawaza kukuchinja hahah
 
Mimi kama hatujuani wala sijui historia yako hata unichangamkie vipi tutaangalia tu kuanzia asubuhi hadi jua linazama [emoji28]nilishawahi kukaa siti moja na mtu kwenye basi safari ya siku mbili zaidi ya salamu hakusikia tena sauti yangu
 
Mimi kama hatujuani wala sijui historia yako hata unichangamkie vipi tutaangalia tu kuanzia asubuhi hadi jua linazama [emoji28]nilishawahi kukaa siti moja na mtu kwenye basi safari ya siku mbili zaidi ya salamu hakusikia tena sauti yangu
Kuna upole na ukimya...

Mtu mpole mara nyingi huwa na ukimya fulani Ila mtu mkimya anaweza asiwe mpole kwa kiasi kikubwa sana...
 
Wasalaam wakuu.

Nimekuwa na ukaribu sana na watu wenye hulka ya upole, jinsia zote wa kike na wa kiume.

Ila hawa watu wapole wapo selective sana kwenye masuala ya kuchagua wenza au wapenzi wao.

Je,hii inachangiwa na wao kuogopa kuumizwa au? Maana anaweza kuingia kwenye mahusiano na akadumu kwa wiki tu ukimuuliza anakwambia ameona hayo mahusiano hayatafika mbali.

Hebu tusaidiane hapa wakuu.

Kweli kabisa
 
Ni vyema kutafakari muda mrefu kabla ya kufanya maamuzi.
 
Kuwa selective imenisaidia sana, nikili tu list yangu naikumbuka yote 😛
 
Upole ni mchakato wa kisayansi unaoanzia kwenye ubongo...ni pale bongo inapolazimishwa kufanya mambo ya kipekee na makubwa hii hupelekea mtu kuishia kuwa mpweke na kupenda kujitenga na kutokuwa mtu wa masihara katika maamuzi.
Watu wapole ukijaribu kufanya research utagundua wana hazina ya upeo mkubwa wa kuchanganua mambo na sio watu wa papara! Sio tu kwenye mahusiano hata kwenye michakato mbalimbali....hii ni kutokana na bongo zao kuwa na upeo mkubwa sana wa kutafakari na kupambanua issues nyingi kwa wakati mmoja!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mimi nishawaambia wajaribu kunielewa lakini hawataki
Pambana mkuu utapata yani mimi ni introvert pure lakini naweza nikajichanganya na watu ikiwa kitu chenye manufaa tu huyu manka amenisaidia mengi sana mungu amuweke[emoji7]
 
Hua naambiwa maneno haya.
Nakuona unajali sometimes unakua too harsh. Nitakuzoea tu lkn.
Hivi wewe hua unapenda kweli? Hua upo mahusiano).
Kwa asili mm nina upole na mpka kuongea ni tumezoeana mnoo na tunajuana hasa tena wewe ndio unipe ushirikiano wa mara kwa mara. Ukweli ni too selective, hua sometimes naangalia mtu anadate na mtu flani, mpka najiuliza anaweza vipi kua na mtu kama huyu sasa.

Mpaka kua kwenye mahusiano ni mbinde, na mara nyingine mpka nijiridhishe haswa. Ilifika mahali mama ni kama anapata wasi wasi huenda mimi sio mzima labda mbona haji na madada hata nyumbani (hana marafiki wa kike). au skendo skendo. Nilikua nasimuliwa na mdada rafk yngu sema yeye mkubwa kwangu so wanaelewa na mama vizuri.
 
Back
Top Bottom