Usisahau kuitafuna chupa.nasikia ni dawa ya covidi
Aisee mm Ni mmoja wa watu wapole,Sina tukio nililopiga maishani,ninaonewa Sana kwa upole wangu.
Lakini sio mkimya nikianza kuongea hutachoka kunisikiliza,hutatamani niache kuongea,sipendi mtu aonewe na sipendi kuonewa.
Hapa kutopenda kuonewa ndo umafia wangu ulipo.
Ila watu huwa wanakosea kudhani wapole hawana nyege,hawana njaa,hawana hisia,hawaumii,hawasikii maumivu na mengine mengi.
Sasa ukimuumiza Sana mpole Basi nae Kama Binadamu anayo haki ya kutupotezea ama kukurudi.
Hai mnaowaogopa Ni wakimya.
Hawa nao Ni Kama wengine wana Hali zote,hamu,nyege, ha like ya kusikia utamu au uchungu na mambo mengine mengi.ila wao tu sio waongeaji sana.hivyo ukiwazingua wanakuzingua pale atakaoona yamemshinda.
Hivyo wapole na wakimya nao Wana hisia zote.
Kati ya wapole na wakimya Kuna wezi,majambazi,Malaya,wachawi,waongo na kila Aina ya ufilauni.
Hivyo unaweza kukutana na mpole Malaya,mpole jambazi,mpole mwizi,mpole katili na vivyo hivyo kwa wakimya.
Nadio maana hawa watu wawili wakipiga tukio inakua na habari ya mjini.
Ila Hawa machakaramu wakipiga tukio watu wanaona nikawaida yao
Katika mapenzi wadada waliojichanganya kwangu huwa wananishangaa Sana kwamba da sikujua Kama wewe Ni mtundu namna hii.
Hapo Ni baada ya kumpigia shoo ya kugaidi.
Mie ni mpole Dada nipe nafasi Basi.