Hivi kwanini watu wapole wako hivi?

Hivi kwanini watu wapole wako hivi?

Usisahau kuitafuna chupa.nasikia ni dawa ya covidi
Aisee mm Ni mmoja wa watu wapole,Sina tukio nililopiga maishani,ninaonewa Sana kwa upole wangu.
Lakini sio mkimya nikianza kuongea hutachoka kunisikiliza,hutatamani niache kuongea,sipendi mtu aonewe na sipendi kuonewa.
Hapa kutopenda kuonewa ndo umafia wangu ulipo.
Ila watu huwa wanakosea kudhani wapole hawana nyege,hawana njaa,hawana hisia,hawaumii,hawasikii maumivu na mengine mengi.
Sasa ukimuumiza Sana mpole Basi nae Kama Binadamu anayo haki ya kutupotezea ama kukurudi.

Hai mnaowaogopa Ni wakimya.
Hawa nao Ni Kama wengine wana Hali zote,hamu,nyege, ha like ya kusikia utamu au uchungu na mambo mengine mengi.ila wao tu sio waongeaji sana.hivyo ukiwazingua wanakuzingua pale atakaoona yamemshinda.

Hivyo wapole na wakimya nao Wana hisia zote.

Kati ya wapole na wakimya Kuna wezi,majambazi,Malaya,wachawi,waongo na kila Aina ya ufilauni.
Hivyo unaweza kukutana na mpole Malaya,mpole jambazi,mpole mwizi,mpole katili na vivyo hivyo kwa wakimya.
Nadio maana hawa watu wawili wakipiga tukio inakua na habari ya mjini.

Ila Hawa machakaramu wakipiga tukio watu wanaona nikawaida yao

Katika mapenzi wadada waliojichanganya kwangu huwa wananishangaa Sana kwamba da sikujua Kama wewe Ni mtundu namna hii.
Hapo Ni baada ya kumpigia shoo ya kugaidi.
Mie ni mpole Dada nipe nafasi Basi.
 
Hii sio kweli. Wanaume ndyo tupo selectiv tukifika kwenye swala la kutafta mke.
 
Me napenda kujua Kuna connection gan ya kua mpole na kuogopa madem[emoji23][emoji23][emoji23].... sio kwa nia mbaya lakin Wapole
 
Kuna tofauti kati ya mpole na mkimya wapole ni wachache ila wakimya ni wengi na ni wahuni wa kutupwa yaan ni afadhali ya wale waongeaji
Sio kweli bana.huwa tunaachwa Sana .
Kwa hiyo nukiachwa nikatafuta mwingine naonekana mhuni.
 
Zamani enzi za ujana huko mashule ya porini niliwahi kupewa kesi moja na jamaa mmoja hivi mbabe babe akijui kwamba mimi lofa!

Tulivyofika kwa pilato nilimu-outsmart hakuamini macho yake.

Aisee najiamini sana! My brain is a beautiful thing!

Wakati mwingine huwa siamini kama ubongo wangu unafanya kazi namna ile!

Hata mimi huwa najishangaa!
Umenikumbusha aisee.
Aisee uko Kama mm,Tena huwa namtahadharisha kabisa mshindani wangu,kuwa umejipanga?
Niliwahi mushinda Capt mmoja Hadi akataka tuhamie kwenye kuexchange punches,napo nulimuonya.Alinishitaki.
Baadae Kuna dokta mmoja akaniambia pembeni kua jamaa alidhani wewe kwa upole wako alidhani Ni fala.
Umenikumbusha kesi hiyo.
Nilimtoa nje vibaya Sana.
 
Wasalaam wakuu.

Nimekuwa na ukaribu sana na watu wenye hulka ya upole, jinsia zote wa kike na wa kiume.

Ila hawa watu wapole wapo selective sana kwenye masuala ya kuchagua wenza au wapenzi wao.

Je, hii inachangiwa na wao kuogopa kuumizwa au? Maana anaweza kuingia kwenye mahusiano na akadumu kwa wiki tu ukimuuliza anakwambia ameona hayo mahusiano hayatafika mbali.

Hebu tusaidiane hapa wakuu.
Duuh
 
Sisi malier alafu wapole wakiume tunaumwa hamonize syndrome tunapenda mizigo
 
Nina experience mbaya na watu wapole!

Ama kweli usione ukadhani!

Huwa wanajifanya kuwa wanaogopa kuumizwa lakini behnd the scene ni dracula!

Ushangao utakaoupata ukiyajua ya nyuma ya pazia yanaweza kuupa moyo wako ulemavu wa kudumu!

Be ware!

A word is eneogh for the wise!
Hahaha
 
Kuna wapole na wakimya. Wengi wanadhani wakimya ni wapole na waongeaji ni machakaramu ila wakishashangazwa ndio akili inarudi

Japo wakimya hata mimi nawaogopa maana unaweza fanya jambo na asitoe any reaction kumbe ushawekwa kwenye plan za mbeleni
Hahaha
 
Back
Top Bottom