Village fooler
JF-Expert Member
- Mar 16, 2020
- 706
- 1,425
Uzi huu unahusu wapole sisi wakimya tusubiri uzi wetu make naona kuna watu wanachanganya hapa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HamjiaminiSijui kwanini tupo hivo.. basi tu tunatafuta watakaoendana na mood zetu na pesrsonalitu zetu[emoji45][emoji45]
Jf ni kisima cha maarifa.....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu umejibu swali nililojiuliza mda marefu kwamba Mimi Ni mkimya au mpole nimegundua sina sifa za upole ila Nina saifa za ukimya ila huwa hatuna dharau kama mnavotuchukulia sema tu huwa hatuna maneno ya kuongea matokeo yake ndo tunaonekana tuna dharau ila huwa hatusahau haraka
Alieanzisha Jf moja kwa moja peponiJf ni kisima cha maarifa.....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wasalaam wakuu.
Nimekuwa na ukaribu sana na watu wenye hulka ya upole,
Jinsia zote wa kike na wa kiume.
Ila hawa watu wapole wapo selective sana kwenye masuala ya kuchagua wenza au wapenzi wao.
Je,hii inachangiwa na wao kuogopa kuumizwa au? Maana anaweza kuingia kwenye mahusiano na akadumu kwa wiki tu,
Ukimuuliza anakwambia ameona hayo mahusiano hayatafika mbali.
Hebu tusaidiane hapa wakuu.
Hata sisi hatujui kwanini tupo hivyoWasalaam wakuu.
Nimekuwa na ukaribu sana na watu wenye hulka ya upole,
Jinsia zote wa kike na wa kiume.
Ila hawa watu wapole wapo selective sana kwenye masuala ya kuchagua wenza au wapenzi wao.
Je,hii inachangiwa na wao kuogopa kuumizwa au? Maana anaweza kuingia kwenye mahusiano na akadumu kwa wiki tu,
Ukimuuliza anakwambia ameona hayo mahusiano hayatafika mbali.
Hebu tusaidiane hapa wakuu.
Shukrani sana mkuu kwa maelezo yakoWapole au wakimya, maana kuna watu ambao ni waongeaji lakini ni wapole.
Ngoja nikusaidie tu , watu wengi hasa wanawake wanachanganya kati ya watu wakimya na wapole.
Upole ni tabia ya ndani, ambayo inatafsiwa Kwa MTU kuwa na huruma, caring na upendo. Na kinyume cha upole ni ukatili.
Na kuna ukimya maana sio muongeaji. Kinyume cha mkimya ni muongeaji.
Kuna watu wakimya halafu wapole pia. Lakini kuna watu wakimya halafu ni makatili. Hawana huruma, upendo na sio caring.
Pia kuna watu waongeaji lakini wapole pia.
Watu wengi wanaingia chaka Kwa kushindwa kujua jambo hili wanapochagua wenza wao, Mara nyingine unaingia Kwa MTU mkimya lakini sio mpole unaishia kuchezea kichapo. Unakuta MTU huyo anakuwa mafia, mwenye tabia mbaya, asiyejali kabisa ila ndio hivyo sio muongeaji.
Mambo ni kimyakimya mwisho wa siku mtu anashtuka kaachwaHatuna matukio bhana, ni kwamba ukiwa ukiwa mkimya unampa nafasi mtu wako afunguke zaidi hivyo unakuwa ushamsoma mwenzio nje ndani. Sasa uchakataji wa taarifa wa mtu mkimya unaishia kichwani kwake tu na ni ngumu kuonesha reaction kama ameshangazwa au kushituka kwa taarifa yoyote utakayo mpa au story yoyote. Hivyo utajikuta unamsimulia story nyingi hususani madhaifu na mengine mengi maana watu wakimya ni wasikilizaji wazuri. sasa akishapata hizo story ndio anajitoa ghafla tu na hatatoa sababu za msingi kwanini anasitisha mahusiano. Atakuacha tu juu kwa juu sasa hiyo ndio inachukuliwa kama ukatili au hayo matukio ya kutisha ila kimsingi mtu mkimya hawezi kukueleza wazi udhaifu/kosa lako. Atajiondoa tu kwenye maisha yako ghafla.
Mimi pia, huwa nawaangalia nasema hiiiiiii[emoji23]kuna watu wananionaga ni mpoleee,na wanaamini hivyo
huwa nawahurumia
Akhsante sana mkuu kwa maelezo yako yakinifu,Mtu mpole.
Wanafikiri sana kabla ya kutenda na sio wakurupukaji, na nirahisi kuwaamini na pia wako tayari kutoa msaada.
Watu hawa ni wazuri kuwa nao kama marafiki, na wasikilizaji wazuri ambao wanazielewa hisia za wengine.
Wapole wanaweza kudumisha mahusiano yao na wengine na ni rahisi kukaa kwenye uhusiano kwa muda mrefu, na niwagunduzi wa vitu.
Kuna dhana kwamba Watu wakimya wana dharau kutokana na kwamba wakati wewe unaongea kwa mdomo, wao wanatabia ya kuongea kichwani mwao.
Pia inasadikika kwamba unapo ongea naye mara nyingi anaweza asijibu kwa maneno bali vitendo na pia anadaiwa kutosahau haraka alichoambiwa.
Ni kweli mkuuHapo ndo tunathibitisha ule usemi wa
"DON'T JUDGE THE BOOK BY ITS COVER"