Hivi kwanini watu wapole wako hivi?

Pia kuna wakati mama yangu mzazi aliwahi letewa kesi moja hivi pindi nipo mdogo, alikataa sijafanya vile ilihali mama yangu ni mpenda haki, lakini kiukweli nilifanya lile tukio
Duh,😳 watu wa dizaini hiyo ni hatari
 
Kuna tofauti kati ya mpole na mkimya wapole ni wachache ila wakimya ni wengi na ni wahuni wa kutupwa yaan ni afadhali ya wale waongeaji
 
Zamani enzi za ujana huko mashule ya porini niliwahi kupewa kesi moja na jamaa mmoja hivi mbabe babe akijui kwamba mimi lofa!

Tulivyofika kwa pilato nilimu-outsmart hakuamini macho yake.

Aisee najiamini sana! My brain is a beautiful thing!

Wakati mwingine huwa siamini kama ubongo wangu unafanya kazi namna ile!

Hata mimi huwa najishangaa!
 
Ni ukweli kwa kiasi kikubwa sana, mtu mpole akiamua kukupenda huwa kamaanisha hana ukinyonga.

Ila pia ukimzingua akaamua kufanya revenge hamna rangi utaacha ona maana analipiga tukio kwa ustadi na umakini bila kukurupuka.
Matukio yanapigwa kwa ustadi kama wanaenda kuvamia ikulu ya Marekani😄😄
 
Jamaa akabaki anatumbua mimacho tu😄😄
 
Kweli kabisaaa.
 
Mkuu mimi hulka yangu nimpole (highly introvert ) na ulichosema ni kweli kabisa kwa upande wangu. Nina Miaka 29 nahitaji kuoa ila ndo ivyo unapata bahati ya kuwa na wanana warembo ila mahusiano ayadumu . Nikiona tu tabia sizielew haimalizi ata 2 weeks .

Kuna wakati nafikiria kuzaa tu na mwanamke yoyote then Nilee mtoto ila naona hapana nahitaji kuwa family man. Labda nikutane na introvert mwenzangu tutaendana.

Dear future wife uko uliko ebu fanya fasta uje
 
Unaweza kumpata introvert mwenzio na msiwezane.
 
Nadhani pm kwako pashawaka mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…