Mkuu eti wanauliza kama we ni under 18 au ndio hiki kizazi cha bongo fleva za akina team flani + flani.Ni mwigizaji wa filam, bongo movie aliigiza girlfriend na kina t.i.d kama sikosei!
Mtoa maada ulitaka aitwe nani?Habarini Wakuu,
Huwa ninawashangaa sana wale wote wanaomwita Wema Sepetu kuwa ni "Msanii Maarufu"
Najiuliza ni Msanii maarufu katika tasnia ipi?
Aliigiza filamu ya mwisho lini?
Aliwahi kutoa single au Album ya nyimbo ipi na lini?
Kwanini anaitwa Msanii maarufu?
Mwanaume wa mkoani kwenye ubora wako.Ni mwigizaji wa filam, bongo movie aliigiza girlfriend na kina t.i.d kama sikosei!
ChaWote au Mama huruma.Mtoa maada ulitaka aitwe nani?
Ni msanii wa bongo movie....
Kujua movie yake ya mwisho download app yake uone... (itabidi anilipe kwa promo hii)
Hahaha dah hapoa naelewa classification tupiliia mbali kwa wabongo HahahaBongo ukishawahi kuigiza jina utakalopewa ni hilohilo la Msanii maarufu....hatuna suala la classification sisi.
Kwani msanii ni yule ambaye ameigiza "filamu ya mwisho lini?" Umejichanganya katika maelezo yako. Nadhani ungeuliza je amewahi kuigiza/kuimba nk. Sasa kama unauelewa kuwa amewahi "KUIGIZA" na ukawa unatuuliza "SISI" tukupe tarehe ya mwisho ya "UIGIZAJI" badala ya "WEWE" mjenga hoja kuja na "facts" kudhihirisha ama kutetea hoja yako ya kwanini unahisi WEMA sio msanii nadhani utakuwa hujamtendea WEMA haki yake. Hivi, member wa jf ni yule aliyeandika post/kuanzisha thread mara ya mwisho lini?Habarini Wakuu,
Huwa ninawashangaa sana wale wote wanaomwita Wema Sepetu kuwa ni "Msanii Maarufu"
Najiuliza ni Msanii maarufu katika tasnia ipi?
Aliigiza filamu ya mwisho lini?
Aliwahi kutoa single au Album ya nyimbo ipi na lini?
Kwanini anaitwa Msanii maarufu?
[emoji15] [emoji15] wema alikuja mjini kutokea wapi? Basi alidanganya aliposema kazaliwa dar.. Baba ake alikuwa balozi Sweden kama sijakoseaMkuu eti wanauliza kama we ni under 18 au ndio hiki kizazi cha bongo fleva za akina team flani + flani.
Movie ya girlfriend kipindi inatoka Tanzania haikuwa inamfahamu huyo Wema bado hakuwa ameingia mjini.
Hapo kwenye member wa jf tuu [emoji23][emoji23]Kwani msanii ni yule ambaye ameigiza "filamu ya mwisho lini?" Umejichanganya katika maelezo yako. Nadhani ungeuliza je amewahi kuigiza/kuimba nk. Sasa kama unauelewa kuwa amewahi "KUIGIZA" na ukawa unatuuliza "SISI" tukupe tarehe ya mwisho ya "UIGIZAJI" badala ya "WEWE" mjenga hoja kuja na "facts" kudhihirisha ama kutetea hoja yako ya kwanini unahisi WEMA sio msanii nadhani utakuwa hujamtendea WEMA haki yake. Hivi, member wa jf ni yule aliyeandika post/kuanzisha thread mara ya mwisho lini?
Membe mkuu! Aha nimekusoma[emoji1] [emoji1] [emoji2] [emoji10] [emoji3]Hapo kwenye membe wa jf tuu [emoji23][emoji23]
Twin uje ujibu huku..