Hivi Kwanini Wema anaitwa Msanii? Ni msanii kwenye tasnia ipi?

Hivi Kwanini Wema anaitwa Msanii? Ni msanii kwenye tasnia ipi?

Ni mwigizaji wa filam, bongo movie aliigiza girlfriend na kina t.i.d kama sikosei!
Mkuu eti wanauliza kama we ni under 18 au ndio hiki kizazi cha bongo fleva za akina team flani + flani.
Movie ya girlfriend kipindi inatoka Tanzania haikuwa inamfahamu huyo Wema bado hakuwa ameingia mjini.
 
Habarini Wakuu,

Huwa ninawashangaa sana wale wote wanaomwita Wema Sepetu kuwa ni "Msanii Maarufu"

Najiuliza ni Msanii maarufu katika tasnia ipi?

Aliigiza filamu ya mwisho lini?

Aliwahi kutoa single au Album ya nyimbo ipi na lini?

Kwanini anaitwa Msanii maarufu?
Mtoa maada ulitaka aitwe nani?
 
Wewe unataka mpaka filamu uitazame kwenye Tv?maisha yake tu filamu(maigizo) tosha hata uyo Makonda nae ni msanii maarufu wa kiume kwa sasa naamini umenielewa.
 
Ni mwigizaji wa filam, bongo movie aliigiza girlfriend na kina t.i.d kama sikosei!
Mwanaume wa mkoani kwenye ubora wako.

Enzi zile jiji linazizima kwa filamu ya Girlfriend ulikuwa unapalilia zao gani kule kijijini kwenu?!
 
Dar es salaam hata wamachinga wanaitwa wasanii. Huku usije na jembe.
 
Ni msanii wa bongo movie....

Kujua movie yake ya mwisho download app yake uone... (itabidi anilipe kwa promo hii)

Msaidie tu sababu kwenye nchi ya watu mil 50, itabidi afikishe hata downloads mil 1 Kitu ambacho hata ndotoni hatapata.

Hata akipata downloads 1000, hawatalipia asilimia kubwa hiyo subscripion. Abakie tu na kiki yake ya insta ya kujidanganya.
 
Bongo ukishawahi kuigiza jina utakalopewa ni hilohilo la Msanii maarufu....hatuna suala la classification sisi.
Hahaha dah hapoa naelewa classification tupiliia mbali kwa wabongo Hahaha
 
Habarini Wakuu,

Huwa ninawashangaa sana wale wote wanaomwita Wema Sepetu kuwa ni "Msanii Maarufu"

Najiuliza ni Msanii maarufu katika tasnia ipi?

Aliigiza filamu ya mwisho lini?

Aliwahi kutoa single au Album ya nyimbo ipi na lini?

Kwanini anaitwa Msanii maarufu?
Kwani msanii ni yule ambaye ameigiza "filamu ya mwisho lini?" Umejichanganya katika maelezo yako. Nadhani ungeuliza je amewahi kuigiza/kuimba nk. Sasa kama unauelewa kuwa amewahi "KUIGIZA" na ukawa unatuuliza "SISI" tukupe tarehe ya mwisho ya "UIGIZAJI" badala ya "WEWE" mjenga hoja kuja na "facts" kudhihirisha ama kutetea hoja yako ya kwanini unahisi WEMA sio msanii nadhani utakuwa hujamtendea WEMA haki yake. Hivi, member wa jf ni yule aliyeandika post/kuanzisha thread mara ya mwisho lini?
 
Mkuu eti wanauliza kama we ni under 18 au ndio hiki kizazi cha bongo fleva za akina team flani + flani.
Movie ya girlfriend kipindi inatoka Tanzania haikuwa inamfahamu huyo Wema bado hakuwa ameingia mjini.
[emoji15] [emoji15] wema alikuja mjini kutokea wapi? Basi alidanganya aliposema kazaliwa dar.. Baba ake alikuwa balozi Sweden kama sijakosea
 
Kwani msanii ni yule ambaye ameigiza "filamu ya mwisho lini?" Umejichanganya katika maelezo yako. Nadhani ungeuliza je amewahi kuigiza/kuimba nk. Sasa kama unauelewa kuwa amewahi "KUIGIZA" na ukawa unatuuliza "SISI" tukupe tarehe ya mwisho ya "UIGIZAJI" badala ya "WEWE" mjenga hoja kuja na "facts" kudhihirisha ama kutetea hoja yako ya kwanini unahisi WEMA sio msanii nadhani utakuwa hujamtendea WEMA haki yake. Hivi, member wa jf ni yule aliyeandika post/kuanzisha thread mara ya mwisho lini?
Hapo kwenye member wa jf tuu [emoji23][emoji23]

Twin uje ujibu huku..
 
Hivi huyu wema sepetu ndio yule muuza madawa alie tajwa na makonda??? [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Baadhi ya movie alizocheza ni... 1. A point of no return ya kanumba, 2. Red valentine ya kanumba 3. Dj ben ya JB. 4. Madame ya kwake mwenyewe, 5. 14 days ya JB hizo ni baadhi ya nilizowahi kuziona kipindi bado nazitazama, sijui siku hizi maana hawashawishi kutazama movie zao..
 
Back
Top Bottom