Hivi Kwanini Wema anaitwa Msanii? Ni msanii kwenye tasnia ipi?

Hivi Kwanini Wema anaitwa Msanii? Ni msanii kwenye tasnia ipi?

Kwani msanii ni yule ambaye ameigiza "filamu ya mwisho lini?" Umejichanganya katika maelezo yako. Nadhani ungeuliza je amewahi kuigiza/kuimba nk. Sasa kama unauelewa kuwa amewahi "KUIGIZA" na ukawa unatuuliza "SISI" tukupe tarehe ya mwisho ya "UIGIZAJI" badala ya "WEWE" mjenga hoja kuja na "facts" kudhihirisha ama kutetea hoja yako ya kwanini unahisi WEMA sio msanii nadhani utakuwa hujamtendea WEMA haki yake. Hivi, member wa jf ni yule aliyeandika post/kuanzisha thread mara ya mwisho lini?

Tunaweza kumuita msanii hewa.
 
Habarini Wakuu,

Huwa ninawashangaa sana wale wote wanaomwita Wema Sepetu kuwa ni "Msanii Maarufu"

Najiuliza ni Msanii maarufu katika tasnia ipi?

Aliigiza filamu ya mwisho lini?

Aliwahi kutoa single au Album ya nyimbo ipi na lini?

Kwanini anaitwa Msanii maarufu?
Msanii kwasababumaisha yake halisini maigizo tosha yaani anauwezo wa kuishi maisha ambayo hata familia yake inajiuliza amewezaji kuyaishi hiyo ni sanaa tosha
 
Have some manner. Wewe ni saint! Tunamjua yeye kwa kuwa ni mtu maarufu, weka bayana ya kwako tulinganishe! She is simply human.
In this world even being a saint or hypocrite is an art too,you can choose what you want to be . But to me if it is blue ,it is blue and if it is red,it is red no matter who the fucker are you.
 
Habarini Wakuu,

Huwa ninawashangaa sana wale wote wanaomwita Wema Sepetu kuwa ni "Msanii Maarufu"

Najiuliza ni Msanii maarufu katika tasnia ipi?

Aliigiza filamu ya mwisho lini?

Aliwahi kutoa single au Album ya nyimbo ipi na lini?

Kwanini anaitwa Msanii maarufu?
Azarel usanii ni dhana pana sana...hata kufake maisha unayoishi ni usanii
Kwa mfano uwe tajiri lakini ujifanye kuishi kama maskini n vice versa [emoji3]
 
Kwani msanii ni yule ambaye ameigiza "filamu ya mwisho lini?" Umejichanganya katika maelezo yako. Nadhani ungeuliza je amewahi kuigiza/kuimba nk. Sasa kama unauelewa kuwa amewahi "KUIGIZA" na ukawa unatuuliza "SISI" tukupe tarehe ya mwisho ya "UIGIZAJI" badala ya "WEWE" mjenga hoja kuja na "facts" kudhihirisha ama kutetea hoja yako ya kwanini unahisi WEMA sio msanii nadhani utakuwa hujamtendea WEMA haki yake. Hivi, member wa jf ni yule aliyeandika post/kuanzisha thread mara ya mwisho lini?
Ndio maana nikasema angepaswa aitwe msanii au muigizaji wa zamani

Btw, anaitwa msanii maarufu, ni kweli ni msanii maarufu?
 
Hapo kwenye member wa jf tuu [emoji23][emoji23]

Twin uje ujibu huku..
Twin, hw comes tumwite
"Msanii maarufu"

wakati hata uigizaji aliacha kitambo?

Yaani Bongo hii kuna maneno huwa sijui kwanini yanatumika hovyo, mfano kila muigizaji au muimbaji utasikia

"Msanii maarufu" au "Msanii mkongwe"

Inashangaza.
 
Niliziona zamani na hazikumfanya kuwa msanii maarufu kama anavyojulikana na wengi.
Wema alikuwa maarufu kabla ya kuanza kuigiza so akiitwa msanii maarufu ni sawa tu
 
Umaarufu aliupata kwenye shindano LA miss Tz badae akaigiza filamu za kibongo...
 
Habarini Wakuu,

Huwa ninawashangaa sana wale wote wanaomwita Wema Sepetu kuwa ni "Msanii Maarufu"

Najiuliza ni Msanii maarufu katika tasnia ipi?

Aliigiza filamu ya mwisho lini?

Aliwahi kutoa single au Album ya nyimbo ipi na lini?

Kwanini anaitwa Msanii maarufu?
Mkuu Wema si muigizaji wa bongo muvi au haulifahamu hilo?
 
Msaidie tu sababu kwenye nchi ya watu mil 50, itabidi afikishe hata downloads mil 1 Kitu ambacho hata ndotoni hatapata.

Hata akipata downloads 1000, hawatalipia asilimia kubwa hiyo subscripion. Abakie tu na kiki yake ya insta ya kujidanganya.
1000 x 1000 = 1,000,000 p.m

Si haba

Kulinganisha na kutokuwa na hiyo app

Ukiongezea na skendo ya jana anaweza fikisha hata 2,000

Sio sawa na kujaa bure
 
Habarini Wakuu,

Huwa ninawashangaa sana wale wote wanaomwita Wema Sepetu kuwa ni "Msanii Maarufu"

Najiuliza ni Msanii maarufu katika tasnia ipi?

Aliigiza filamu ya mwisho lini?

Aliwahi kutoa single au Album ya nyimbo ipi na lini?

Kwanini anaitwa Msanii maarufu?
Msanii wa kula unga kma nyoka
 
neno msanii ni pana sana hasa kwenye tasnia ya michezo na burudani,hivi unajua kua hata wachezaji wa mpira ni wasanii? sema siis huku neno msanii tunalipa maana zisizo rasmi,kazi yoyote unayoifanya kwa kutumia ubinifu wako na ukaongeza mvuto kwenye kitu fulani ni usanii,haya Trump hua anajiita msanii wa kuya design majengo,anaweza nunua jumba na akalifanya upya vile anavyodhani yeye linaweza kuwavutia wanunuaji au wapangaji.Kwa hyo hata Wema Sepetu ni msanii mbali hata u rembo wake ni kazi ya kisanaa
 
Wema maarufu kitambo Diamond mwenyewe kamkuta wema tayari super star..tena amshukuru wema kwa kumfundisha umaarufu
 
1000 x 1000 = 1,000,000 p.m

Si haba

Kulinganisha na kutokuwa na hiyo app

Ukiongezea na skendo ya jana anaweza fikisha hata 2,000

Sio sawa na kujaa bure
Hahahaha....! Eti sio sawa na kukaa bure

Hivyo ana juhudi sana sio?
 
Back
Top Bottom