Waziri wa Kaskazini
JF-Expert Member
- Dec 12, 2015
- 7,981
- 17,743
Kuongeza minara linaweza kusaidia hii imagine kuna sehemu unakuwa hupatikani kabisa ilhali simu haijazima lakini ikiishajiunga safaricom basi unakuwa kama hupatikani.Rombo ipo kwenye milima sana. Ni vigumu network kushika kwenye milima maana signal zinakua blocked na vilima. Ukiweza kufanya coverage upande mmoja wa mlima basi upande unaofuatia hakuna network.
Solution hapa ni kuweka repeater na signal booster au kuongeza idadi ya minara.
G1800/U2100 band itawafaa sana maama wanafanya coverage ndogo kuliko sasa walivyoweka G900 wakati ni useless tu.
G stand for GSM
The number ni frequency.
Nini maana ya Anguo kiongoz,tuanze na hiliAaah matatizo ya kimipaka Chief,usiwe na wasiwasi.
kule nimefanikiwa kukaa kati ya 2009-2012..kiufupi Kilimanjaro sio Rombo wala Moshi V pamekuwa affected sana na mitandao ya hapo Kenya!..haswa Safaricom
Njoo kwenye Radio..nilikuwanikiturn on,KBC hiyo hapo,mara citizen,sijui Anguo fm[emoji23] hujakaa sawa Milele fm kule vurugu vurugu tuu!
Kipindi hicho nilikuwa sana mdau wa Radio citizen Chemichemi ya Ukweli..hivi wakina Joyce Gituro,Josephat Odipo + Christine Ojambo bado wapo?
Kawaulize huko Chief sifahamuNini maana ya Anguo kiongoz, tuanze na hili
Marehemu waweru mbuluAaah matatizo ya kimipaka Chief, usiwe na wasiwasi.
kule nimefanikiwa kukaa kati ya 2009-2012. Kiufupi Kilimanjaro sio Rombo wala Moshi V pamekuwa affected sana na mitandao ya hapo Kenya, haswa Safaricom
Njoo kwenye Radio..nilikuwanikiturn on, KBC hiyo hapo, mara citizen, sijui Anguo fm[emoji23] hujakaa sawa Milele FM kule vurugu vurugu tu!
Kipindi hicho nilikuwa sana mdau wa Radio citizen Chemichemi ya Ukweli; hivi wakina Joyce Gituro, Josephat Odipo + Christine Ojambo bado wapo?
Changamoto ya net kule ni kubwa na kero ya muda sasa. Kero nyingine kule ni ulevi wa kupindukia, aise hii kwa rombo imekuwa kero kubwa mno. Jamaa wanapiga ile kitu yao sijui inaitwaje jina nimesahau.Sijawahi kuelewa kwanini hii Wilaya mitandao ya sim inasumbua sana network, ukiwa na smartphone network kuipata hadi uende sehemu yenye mnara wa simu.
- Miaka ya nyuma nilikuwa natumia laini ya safaricom ya Kenya nilikuwa napata network na Internet ya uhakika.
- Ukija upande wa radio ndiyo kabisa yaani wananchi wa hii wilaya wanaskiliza radio za Kenya zaidi ya radio za Tanzania asilimia 90 wanaskiliza radio za nchi jirani Kenya
TCRA tatizo ni nini?
Hapo nimeelewa GSM tu, bila shaka ni yule anayeiweka timu ya wananchi mjini?Rombo ipo kwenye milima sana. Ni vigumu network kushika kwenye milima maana signal zinakua blocked na vilima. Ukiweza kufanya coverage upande mmoja wa mlima basi upande unaofuatia hakuna network.
Solution hapa ni kuweka repeater na signal booster au kuongeza idadi ya minara.
G1800/U2100 band itawafaa sana maama wanafanya coverage ndogo kuliko sasa walivyoweka G900 wakati ni useless tu.
G stand for GSM
The number ni frequency.
Hivi hiyo wilaya ya Rombo ndio wanaume wanakula sana gambe mpaka wanawake wanalazimika kwenda kutafuta wanaume Kenya
changamoto ya net kule ni kubwa na kero ya muda sasa.kero nyingine kule ni ulevi wa kupindukia,aise hii kwa rombo imekuwa kero kubwa mno.jamaa wanapiga ile kitu yao sijui inaitwaje jina nimesahau.
Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
Hapo nimeelewa GSM tu, bila shaka ni yule anayeiweka timu ya wananchi mjini?
Global system for mobile telecommunication.Hapo nimeelewa GSM tu, bila shaka ni yule anayeiweka timu ya wananchi mjini?