Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Zipi zilikuwa sababu za msingi za yeye kutooa wala kuwa na mchumba?
Mje mtupe darasa kwa kweli.
Mje mtupe darasa kwa kweli.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeye ni Mungu alikuja kuifanya kazi ya Mungu, hakuja duniani kuoa Bali kuokoa roho zilizopoteaZipi zilikuwa sababu za msingi za yeye kutooa wala kuwa na mchumba?
Mje mtupe darasa kwa kweli.
Hapo sasa1.Yesu…....... Hakuoa Wala kua na Mchumba.
2. Isaac Newton......... Hakuoa.
3.Nicole Tesla.........Hakuoa.
Anhaa! mkuu hivyo umeamua kututukana kiaina..?1.Yesu…....... Hakuoa Wala kua na Mchumba.
2. Isaac Newton......... Hakuoa.
3.Nicole Tesla.........Hakuoa.
NOTE: Watu Genius huwa Hawana muda na Wanawake.
Early Latter Day Saints Apostle Orson Hyde taught that Jesus was a polygamist who was married to Mary Magdalene, Martha, and Mary of Bethany, and fathered children with them. He also taught that the marriage at Cana was Jesus' own wedding.[19][20][21][22] This idea is not official LDS doctrine,[23] although it has certainly entered into Mormon folklore.[24][25][26]-tuliosoma advanced theology tulipitia hayo maandiko, hayapo kwenye biblia mnazozisoma nyinyiZipi zilikuwa sababu za msingi za yeye kutooa wala kuwa na mchumba?
Mje mtupe darasa kwa kweli.
Yeye ni Mungu alikuja kuifanya kazi ya Mungu..... Wewe ulisomea wapi theolojia yaani yeye ni Mungu aje kuifanya kazi ya Mungu serious???????????????????????Yeye ni Mungu alikuja kuifanya kazi ya Mungu, hakuja duniani kuoa Bali kuokoa roho zilizopotea
Kwani hata ww ukifanya hivyo utakufa.Mtu ana miaka 30 hajawai kuoaa Wala kusex na mtu alafu alikuwa mfano wa binadamu.
Imani ni Bora kuliko dini
Yeau ni Mungu kuanzia lini? come onYeye ni Mungu alikuja kuifanya kazi ya Mungu, hakuja duniani kuoa Bali kuokoa roho zilizopotea