Hivi kwanini Yesu hakuoa wala kuwa na mchumba miaka yote hiyo?

Hivi kwanini Yesu hakuoa wala kuwa na mchumba miaka yote hiyo?

Inawezakana alisha wahi kuwa na demu sema ndo hivyo biblia haikuandika kila kitu,maan ingeandika kila kitu sijui biblia ingekuwa ni kitabu cha namna gani walikuwa wanaandika mambo ya muhimu tu.
 
Yeye ni Mungu alikuja kuifanya kazi ya Mungu..... Wewe ulisomea wapi theolojia yaani yeye ni Mungu aje kuifanya kazi ya Mungu serious???????????????????????

Acha mambo Yann double standard wewe mvaa rozari
Soma kuhusu trinity mkuu
 
Maria kutoka Magda alikuwa 'best' wake na Injili ya Thomas inasema alikuwa ana m kiss 😘
Ku- Kiss ni mila na tamaduni za mashariki ya kati. Na kuna taratibu zake which means kufuatana na uhusiano wenu utam- kiss wapi. Could be on the cheek, mouth, forehead, hand etc.
 
Back
Top Bottom