Hivi kwanini Yesu hakuoa wala kuwa na mchumba miaka yote hiyo?

Hivi kwanini Yesu hakuoa wala kuwa na mchumba miaka yote hiyo?

Pisi yake ilikuwa Maria Magdalena.
J alikuwa mwanaharakati wa ki zealote na baadhi ya mitume wake aliwatoa humo humo.
Wayahudi walidhan atawakomboa dhidi ya mkoloni (mrumi) mana ndo lilikuwa kero kuu wakat huo hasa kwenye kodi.
Kosa kubwa alilofanya ni kuhamishia harakati zake mjini Jerusalem ilipo serkali kuu. Hakurud!
 
KWA NINI MTUME ALICHUKUA KITOTO KIDOGO NA KAKUMBATIA MAJINI MIAKA YOTE.
Bw Muddy alikuwa sahihi kwa misingi ukomavu na utayari wa kuzaa upimwa kwa kuvunja ungo.
Kwa maana mtoto hazai.
Sheria za leo ndo vimeingilia asili hii.
Mpambano wa mtazamo kati ya Islamic law na Law of marriage kuna wakati utajirudia.
 
Maria kutoka Magda alikuwa 'best' wake na Injili ya Thomas inasema alikuwa ana m kiss 😘
Miguu sio yeye tu kwamba alimuosha miguu kwa machozi na kumpaka mafuta yeye aliwaosha Miguu na kuwakiss wanafunzi wake wote 12
 
Mungu wa kweli huwa haowi,isipokuwa mungu mwenye herufi ndogo zote ndiye alioa na bado anazichakata bikra72 kwenye pepo ya kufiklika.
 
Yesu likuja duniani kwa kama moja. Kumuokoa mwanadamu na dhambi alivyomaliza ndio maana akaondoka zake..

We all hata our mission here on earth tatizo ni kuijua, na kuna epusha na tatizo yasio ya lazima
 
Muhammad alioa, hakuwa genius?
Tazama watu Wengi genius huwa awaoi maana kua na mwanamke lazima utasitisha mambo yako kwa ajiri yake, pia lazima ufanye mambo ya kijinga Ili mueze kwenda sawa na mwanamke,pia mwanamke naishi kwa hisia, sio Akili au Logic
 
Inawezakana alisha wahi kuwa na demu sema ndo hivyo biblia haikuandika kila kitu,maan ingeandika kila kitu sijui biblia ingekuwa ni kitabu cha namna gani walikuwa wanaandika mambo ya muhimu tu.
Mbona kuoa na kuolewa imeandikwa kwenye biblia yaani kutaja yesu kama alioa au la ndiko kuingeijaza biblia?
 
Back
Top Bottom