Hivi kwanini Yesu hakuoa wala kuwa na mchumba miaka yote hiyo?

Hivi kwanini Yesu hakuoa wala kuwa na mchumba miaka yote hiyo?

Mwanamke ana uwezo wa kuua ndoto ya mwanaume. Hujawahi kuona wachezaji au makocha wanakataa kwenda kufanya kazi na baadhi ya timu kisa wake zao hawaipendi miji zilizoko hizo timu?
Hili hata mi limenikuta nilipataga nafas ya kazi lakini Dah nikazama mazima
 
Wakina FaizaFoxy wanasema atarudi kuja kupata mchumba na kuoa!
Kina FaizaFoxy baada ya kujifunza kwangu kuhusu dini zao ..siku hizi kapoteza tumaini la kuingia peponi na kupewa mabasha 70 baada ya kugundua kuwa mudi boy ni muongo .. mudi boy wala siyo mtume wa mungu wala yeye mwenyewe alikuwa ajui utume ni kitu gani... waislamu niombeni kwa kububujikwa na machozi nizidi kuwafunulieni upumbavu uliopo ndani ya hizo dini zenu za ukristo na uislamu...mtakuja kunishukuru sana
 
Hakuoa ila alikuwa na mwanamke aliyekuwa karibu yake sana hata jamii ikamshuku kuwa huenda ni wapenzi, hata miongoni mwa wafuasi wake.

Hata baada ya kuondoka kwake yule mwanamke alisema kaachiwa maagizo na hayo maagizo yalikuwa tofauti na aliyoachiwa Petro na wanafunzi wengine.

Petro akaona mambo yasiwe mengi akaelekea.zake Roma ambapo baadae sana kukazaliwa catholic.

Ila Maria wa Magdala alipewa kipaumbele cha kipekee san na Yesu, kuanzia mwanzo hadi mwisho wa uwepo wake.

Kuna kitu tumechukua hapo wakuu wa kataa ndoa.
 
Dan Brown kwenye kitabu chake Cha The Da Vinci Code anasema Maria Magdalena ndiye alikuwa mke wa Yesu na walizaa mtoto mmoja wa kike.
Kuna Movie moja hivi ya Yesu inamuonesha alivyoyashinda mauti alirudi akaoa na akawa na watoto kabisa akaendelea na maisha kama kawaida. Ila Yesu wa kwenye ile movie kachangamka sana. Ni vile nimeiangalia siku nyingi hata jina nimeisahau.

Ila kuna kipande kinaonesha ameletewa mke wake na malaika mmoja akawafungia ndani alafu huyo malaika akakaa mlangoni anawasubiri wamalize biashara yao. Director wa hiyo movie sijui aliwaza nini hata.
 
Si rahisi kuhudumia mchumba wala kutunza mke kazi Yako ikiwa msaidizi wa fundi seremala ambaye ni baba Yako wa kambo hapo Jerusalem
 
Back
Top Bottom